Ata mpoki Huwa hachekeshi ni basi tu. Anatumia miguvu kibao ila wapi.i kwangu yule ni hakuna kitu.Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Ndaro je 😂😂Kuna hawa;
Juma Jicho
Said Said
Asma
Rais wa First year
Sema comedy nayo imegawanyika..kwa wale wa Clips na StandUp comedy.. nawakubali Sana MC Mboneke, TX Dullah, Leonardo, Mr. Black, Nanga, Kanubo na Kidege, Rakeem,
Yeses daah nilimsahau huyo Muha daah..pamoja na Chard Talent wako vizuri mnoNdaro je 😂😂
Sanaa ya uchekeshaji naona ni kama nyimbo, kila mtu anapenda wimbo wa aina flani. Hata Marehemu Majuto Kuna mtu niliwahi msikia alisema hamkubali Majuto. Kwa kifupi wapo wanaochekesha lkn wasivutie kila mtuNjoo nikutekenye, ukicheka basi Leonardo hajui kuchekesha ila usipocheka basi kitufe chako Cha kucheka kitakufa kimekufa.
Yeah, kweli.Sanaa ya uchekeshaji naona ni kama nyimbo, kila mtu anapenda wimbo wa aina flani. Hata Marehemu Majuto Kuna mtu niliwahi msikia alisema hamkubali Majuto. Kwa kifupi wapo wanaochekesha lkn wasivutie kila mtu
Ni kweli stand up comedy ni ngumu ila haizidi forex trading. Hii kazi unaweza kufanya hata miaka 10 nausitoboe, haitakiwi ujanja ujanja kama kazi nyingine.Stand comedy is the hardest Job ever
Na limsuli lake.Mimi yule Mkojani huwa naamini mganga wake anajua sana. Sioni sababu ya yeye kuhodhi filamu za kwenye mabasi.
Inasikitisha sana aiseeKumbe tanzania kuna comedians!?
Mkuu tasnia zinanuka Ushoga karibia zote.Huyo Jol master ana viashira vya upinde..sipendi kabisa kumwona hana analofanya ni upuuzi mtupu...nimewaambia wanangu hakuna kuangalia huo upuuzi maana katikati lazima waweke upupu...
Kazi kukenyua tuNa limsuli lake.
Naona unakipigia promo kitengoNi kweli stand up comedy ni ngumu ila haizidi forex trading. Hii kazi unaweza kufanya hata miaka 10 nausitoboe, haitakiwi ujanja ujanja kama kazi nyingine.
Kutoboa kwenye forex unatakiwa uwe super intelligent. Ukiweza kufanya forex na ukafanikiwa basi wewe ni legend hakuna brain work yoyote itakayokushinda. Forex ni sio kazi ya wachumba & warembo, ni kazi ya moto kuliko jua mpaka utoboe.
Huna bandamaWengi tu hata yule superstar wenu leonardo sijui.
Au labda kitufe changu cha kucheka kimeharibika.
InawezekanaHuna bandama
JotiJoti.
Alianza na comedy kweli, lakini sasa anaact matusi ambayo kwa comedians wengi wa bongo huita comedy