Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

Wewe acha useeeee.... Kama kina jay -z wenyewe wanatumbuiza tz eti hao artists wa kenya dau lao liwe kubwa kiasi kwamba ishindikane kuperform tz eti bei yao ni kubwa saaaaana we kweli ni msengelema kinyama
 
Wewe acha useeeee.... Kama kina jay -z wenyewe wanatumbuiza tz eti hao artists wa kenya dau lao liwe kubwa kiasi kwamba ishindikane kuperform tz eti bei yao ni kubwa saaaaana we kweli ni msengelema kinyama
Bora umempa makavu huyu jamaa anadhani si ni watu wa mchezo mchezo.

#DG
 
Hakuna kitu hicho mkuu wabongo Tunapenda miziki ya aina yote, tatizo wakenya wengi mnaimba pumba afu miziki yenu haibambi labda michache sana

#DG

Nazungumza kuhusu ninachokijua, ni ngumu sana kumkuta Mtanzania anaskliza wimbo wowote nje ya Bongo flava, hili nimeliona sana kwenu na hiyo nchi yenu nimeitembea zaidi ya wengi wenu humu, nimekatiza mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya hivyo napafahamu vizuri sana.
Yaan ukute Mtanzania amekaa anaskliza wimbo usio Bongo flava, utatembea sana, ni wachache labda waliobahatika kutoka na kuishi nje ya nchi na kurudi, ila wengine wote mumefungiwa ndani ya zizi moja, athari za ujamaa hizo, inalemaza mtu kiakili kwamba hauwezi kuwaza nje ya ulichoelekezwa.
Leo hii Bongo flava imeanza kubadilika na kuiga mitindo ya Kinijeria na ndio maana unakuta wengine wenu mumeanza kuwakubali hao Wanaijeria.
 
miguna miguna
 
Nasema hivyo kwa sababu miziki yote inabamba huku ukicheki hiphop, rnb Hata kwaya japo kuna baadhi ya miziki haina wapenzi wengi kama reggae. Ila hiyo mingine kama kawaida vibe kama lote.

#DG
 
Nonsense!
 
Sauti sol sauti sol sauti sol
Wale jamaa wanajua mziki sana wanakubalika Yaani wakithubutu kuja hapa Dar wanajaza sana
 

Wewe una matatizo kichwani,sio bure.

Sasa hao wasanii wenu hata nyinyi wenyewe mmewazira unataka nani ajishughulishe nao??msanii anatoa video miezi sita ina views 30k!!!sisi huku tunasikiliza wasouth,wanigeria,wakongo,mpaka wakorea wanapata umaarufu sana katika movie bongo.Bongo imebadikika siku hizi hutoboi bila kuwa serious.

Sasa wakenya wenu hao nikiwatizama sioni cha maana wanafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…