Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
- Thread starter
-
- #141
Ndio mkuu.Huyu rostam ndiye ameimba now you know na khaligraph Jones?
Amini kwamba tutamshangaa kweli au anachomaaanisha ndo zile depo za saida karoli?Hapa tunazungumzia secular music, sasa ukianza kuzungumzia mambo ya dini na makabila, watanzania watakushangaa sana.
Oi mzee baba unamjua nyashinski?Hamna mkenya anayejua kuimba hata mmoja.Thread closed!
HahahahMtanzania anaskiza nyimbo za Kikuyu? Ama wewe ni mkenya
mimi nimesha mshangaa ndio maana hawa wakenya kwa asilimia kubwa hutengana sana hivi watu tunazungumzia mziki ambao haubagui dini wala kabila mtu anakuja kuongelea mziki wa dini,huyo mtu sidhan kama ni mzima wa afya hata uku kwetu miziki ya dini tunayo na kila mtu anakubali mziki kutokana na dini yake ila huwa atupend kuongelea mziki wa dini katika mjadala wa jamii kiujumla mana ni chanzo cha kuanza kubaguana kidiniHapa tunazungumzia secular music, sasa ukianza kuzungumzia mambo ya dini na makabila, watanzania watakushangaa sana.
nilichogundua wew n mpinzan na huna hoja hv ukianza kumjaji msanii kwa nyimbo moja ya slow ntakupatia nyimbo nyingi za melody ya rnb hapa hapa bongo uone kama uyo medy atafua dafuHeeehe huwezi linganisha meddy was Rwanda na wasanii wenu.His song slowly
mimi nimesha mshangaa ndio maana hawa wakenya kwa asilimia kubwa hutengana sana hivi watu tunazungumzia mziki ambao haubagui dini wala kabila mtu anakuja kuongelea mziki wa dini,huyo mtu sidhan kama ni mzima wa afya hata uku kwetu miziki ya dini tunayo na kila mtu anakubali mziki kutokana na dini yake ila huwa atupend kuongelea mziki wa dini katika mjadala wa jamii kiujumla mana ni chanzo cha kuanza kubaguana kidini
Nyamaza. Ni wapi nimeleta ukabila? Why do you people act as if you are so special. Niliwaambia Mimi najua wasanii wengi sana wa bongo. All Wasafi members,benpol,darassa,Vanessa, nandy, ruby prof.jay,Ali kiba, aslay,the list is endless. On the other hand,you people don't know any musician outside your country.nilichogundua wew n mpinzan na huna hoja hv ukianza kumjaji msanii kwa nyimbo moja ya slow ntakupatia nyimbo nyingi za melody ya rnb hapa hapa bongo uone kama uyo medy atafua dafu
jaribu kufatilia benpol-moyo mashine
jux-uzuri wako
steve rnb-dawa
aisee ni weng sana
mimi nimesha mshangaa ndio maana hawa wakenya kwa asilimia kubwa hutengana sana hivi watu tunazungumzia mziki ambao haubagui dini wala kabila mtu anakuja kuongelea mziki wa dini,huyo mtu sidhan kama ni mzima wa afya hata uku kwetu miziki ya dini tunayo na kila mtu anakubali mziki kutokana na dini yake ila huwa atupend kuongelea mziki wa dini katika mjadala wa jamii kiujumla mana ni chanzo cha kuanza kubaguana kidini
Mnashangaa nini? Si mnajulikana nyie ndiye kinara wa ushirikina dunia nzima? Ndio maana mnanihukumu kisa nimezungumzia diniAmini kwamba tutamshangaa kweli au anachomaaanisha ndo zile depo za saida karoli?
#DG
Nyanyangu, kitu cha kujifunza hapa ni kwamba, watanzania wanachukia sana ubaguzi wa aina yoyote ile, usijaribu tena kuzungumzia kitu chochote chenye chembechembe za division.Mnashangaa nini? Si mnajulikana nyie ndiye kinara wa ushirikina dunia nzima? Ndio maana mnanihukumu kisa nimezungumzia dini
Mkuu hii kicwa naikubali sanaMejja
Acha niachane na nyinyi maana uelewa wenu ni finyu sana. Huku kwetu hatuchezi nyimbo za akina diamond kanisani. Happy sabbathNyanyangu, kitu cha kujifunza hapa ni kwamba, watanzania wanachukia sana ubaguzi wa aina yoyote ile, usijaribu tena kuzungumzia kitu chochote chenye chembechembe za division.
Unawezaje kulinganisha "slowly" na "Kwangwaru"Heeehe huwezi linganisha meddy was Rwanda na wasanii wenu.His song slowly