Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

Siri ya mafanikio ya mziki kwanza ni lazima kama taifa liwe na mtindo wake wa mziki yaani ID hiyo miziki mingine ya watu ni extra tu kuifanya nasikudandadanda na style za watu,,,,Nashukuru kwa hilo tumefanikiwa natunazidii fanikiwa

TAKE EXAMPLE
South Africa-kwaito
U.s.a-pop,rock, n.k
Indian-wanamziki wao
Nigeria-nao wamebuni ID yao
Tanzania-Bongo flavour

Kenya-?????????????????

Mtasubiri sana
Mziki wetu mchanganyiko Mkuu.
 
Mziki wetu mchanganyiko Mkuu.
Mziki upi huo unaosema mbona hakuna nchi musicians wenu wanaitwa kwenda kupiga show, kama zipo nchi ambazo wasanii wa Kenya wanakubalika, Tafadhali tupatie links za YouTube ili tuone kama kuna watu wanaingia.
 
Ukiambiwa utasema ni ukabila. Heri ninyamaze
Weka YouTube inayoonyesha musicians toka Kenya anapiga show na watu wameingia. Kenya kwenye muziki tulieni, hilo sio eneo lenu, mbona sisi katika kukimbia tumetulia hatujifanyi wajuaji?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnawezaje kukimbia na mnawaza mlo tu? Niliambia mmoja wenu muwakilishe E.A kimziki michezo achieni wakenya. MTU hawezi barikiwa kwa vyote. Vipawa ni tofauti
Sasa mbona tunapowaambia muziki hamjui bado mnaanza kubisha?
 
Wasanii wetu at wakiungana wote wakapige show Tz ile stadium ya football hawaijaziii nG'ooo hawakubariki kule ila wasanii wabongo wakija huku at ni mmoja anasepa na kijiji
 
Tatizo mfumo wenu wa ujamaa uliwadumaza kiasi kwamba huwa hamna uwezo wa kufurahia diversity, yaani mkielekeza pua kwa kitu kimoja, nyote mnamwagika humo. Unakuta mnao mtindo mmoja tu wa sanaa, na ili Mkenya atambulike huko lazima aimbe Kibongobongo ndio aeleweke.
Sisi huku tunafurahia kila aina ya mtindo, iwe Bongo au mitindo ya kwetu na ndio maana unaona wasanii wenu wakija wanakubalika, hatujafugwa kwenye zizi moja kama mbuzi.
Wanakuja kina koffie olomide hapa na wanajaza show,kubali tu wakenya hamjui kuimba,mbona sie tunakubali kwenye riadha mko juu,acheni roho tupeni sifa zetu kwenye medani ya muziki
 
Uliza mwenye nime-quote.
Zile Mimi naweza zungumzia ni za injili ila ulisema ni ukabila. Very poor mindset
Yeye amesema anadhani Sauti Sol wakija Tanzania watajaza watu, Mimi maoni yangu hata wakipiga show bure hawawezi kupata watu, hakuna hata wimbo mmoja wa Sauti Sol ambao umeingi katika chat yoyote ya top ten huku Bongo, sasa kama muziki wao haushiki chat yoyote, ni kitu gani kitawafanya watanzania waende kuwaona?.

Kuhusu ukabila, acheni kupingana na ukweli kwamba Kenya mpo na tatizo la ukabila, kumbuka ukabila ni socially constructed problem, tabia, attitude, na mambo mbayofanya katika maisha yenu ya kila siku ndivyo vinavyokuza ukabila. Tatizo lenu ninyi mnajifanya wajuaji sana, hata mkishauriwa na MTU ambae amefanikiwa kupambana na ukabila, bado mnabisha na kujifanya mnajua zaidi.
 
Haujanielewa nachomaanisha .....hiyo miziki mchanganyiko hata huku Tz ipo watu wanafanya ,,,,

Problem ipo ivi mna aina gani unique ya kimziki inayotambulisha tasnia yenu
Mziki wetu mchanganyiko Mkuu.
 
Back
Top Bottom