mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Mziki wetu mchanganyiko Mkuu.Siri ya mafanikio ya mziki kwanza ni lazima kama taifa liwe na mtindo wake wa mziki yaani ID hiyo miziki mingine ya watu ni extra tu kuifanya nasikudandadanda na style za watu,,,,Nashukuru kwa hilo tumefanikiwa natunazidii fanikiwa
TAKE EXAMPLE
South Africa-kwaito
U.s.a-pop,rock, n.k
Indian-wanamziki wao
Nigeria-nao wamebuni ID yao
Tanzania-Bongo flavour
Kenya-?????????????????
Mtasubiri sana