Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Huyo ndio balaa km kazaliwa na muziki jinsi anavyojua kucheza nao.Kuna huyo kwa dp yako ni kichwa kinoma, niki wa pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio balaa km kazaliwa na muziki jinsi anavyojua kucheza nao.Kuna huyo kwa dp yako ni kichwa kinoma, niki wa pili
Kati ya vizazi kuntu vya hip hop, huyu jamaa yumoHuyo ndio balaa km kazaliwa na muziki jinsi anavyojua kucheza nao.
Yah, ladha kamiri.Muziki mzuri ila
Bi. Shakila alitisha enzi zake ila Zuchu ni hatari sanaTatizo ni moja:
Watanzania wengi hawana background ya kuujua utamu wa MZIKI pia hawapendi kusikiliza mziki wa kale. Pia hawapendi kufanya utafiti...
Unavyosema ZUCHU ni Msanii Bora wa Kike Tangia TZ ianze unamaanisha nini exactly..
Nakupa ASSIGNMENT mtafute Msanii anaitwa Bi Shakila.. msikilize huyo Mwanamama......... nyimbo zake bado zinaishi mpk leo.
Sawa.Bi. Shakila alitisha enzi zake ila Zuchu ni hatari sana
Hii comment yangu nitakuwa sijaitendea haki bila kumuongezea marehemu Mr Ebo mmasai alikuwa na burudani sana nyimbo zake yaani alikuwa anaelimisha pamoja na kuchekesha/comedy.😃😃😃😃😃😃😃Ila wasanii wa zamani kila mtu alikuwa na staili yake ya kipekee.
Kuna Crazy Gk,D knob,Kali P na yule mwingine jina nimemsahau aliimba nyimbo ya Nampenda bibi kikongwe hawa jamaa ilikuwa nikisikiliza nyimbo zao nilikuwa nacheka sana hadi nikawa addicted nazo bila ya kutarajia
😃😃😃😃😃😃😃Ila wasanii wa zamani kila mtu alikuwa na staili yake ya kipekee.
Kuna Crazy Gk,D knob,Kali P na yule mwingine jina nimemsahau aliimba nyimbo ya Nampenda bibi kikongwe hawa jamaa ilikuwa nikisikiliza nyimbo zao nilikuwa nacheka sana hadi nikawa addicted nazo bila ya kutarajia
Hapo kwenye she she ndo palikuaga pananivu ja mbafu sangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii comment yangu nitakuwa sijaitendea haki bila kumuongezea marehemu Mr Ebo mmasai alikuwa na burudani sana nyimbo zake yaani alikuwa anaelimisha pamoja na kuchekesha/comedy.
Moja ya mistari yake ambayo nilikuwa nikiisikia navunja mbavu kwa kucheka ni hii hapa;
1. CHORUS
MOTIKA RECORDS
Acha kubishabisha kitu usichokijua eeh aah unalimbikiza ujinga eeh,uliza fafanua kama una swali uliza eeh aah,Mnatupakazia sana.
VERSE YA 1
Bado hujaona mbuzi anasukutua?Bado
Kunguru inanuka mdomo?Bado
Nyau imesukwa mabutu?Bado,eeh?bado
Nyoka imevaa hereni?Bado,eeh hata hii?Bado
Ajali ajali?Bado(hapa kwenye video yake ikaonesha ajali ya binadamu kwa binadamu kugongana[emoji1])
Na panya mwenye TB?Bado,hata hiyo?bado
Ng'ombe jike anarembua?Bado,wewe inakaa wapi?Bado
Self container ndani ni choo cha shimo?Bado,unatokea nchi gani?Bado
Na mkate imepakwa colgate?Bado,wewe ni kijana mudogo eeh?Bado
Na kaburi za kupangisha?Bado,nisamilie-bado.
Na kondoo mwenye mwanya?Bado,hata hiyo hujaona?Bado
CHORUS
VERSE YA 2
"Mnanisema vibaya kisa kusimamisha bus,na mahali ni porini ni bora nikawa wazi,bus ya kwanza kusimamisha kanipita kabisa,nikaona nikae rabarabani kabisa,gari ya pili ikaja ikafunga breki kali,dereva na abiria wote wakawa wakali.
Masai tungekugonga haya unakwenda wapi?
Masai:Aah mimi nilitaka kujua tu ni saa ngapi.
Wakaanza kunicheka wengine wamekarisika".
Na kuna mudogo wangu amevunjika muguu,tulikuwa tuko wote tunakwenda kwa sikukuu,tuko kwenye lori tunaimba tunaruka juu,eeh yule rafiki yangu si kapandisha mori,karuka juu zaidi kasahau yupo kwenye lori,alivyorudi chini kajikuta kwenye lami,ikawa bonge la soo na noma kilo kumi.
Bado hujaona samaki imepakwa wanja?Bado,nasema?Bado
Kinyonga ameshikwa na kwikwi?Bado
Mbwa anakohoa kapaliwa na kwikwi?Bado,alikuwa anabweka umbea-Bado
Kupewa makande kwenye ndege?Bado,hujasafiri na ndege eeh?Bado
Bus imefungwa injini ya pikipiki?Bado,Tanga na Arusha siku nne-Bado,wewe kila kitu ni bado?Bado,eeh?Bado
Hata kuzaliwa?Bado
CHORUS
VERSE YA 3
Hata mama ntilie muzungu bado hujaona?
Eeh Samahan babe sasa hivi tumemaliza chai,sasa hivi tumebakisha supu ya mkia na chapati,karibu sana(In European accent)
CHORUS
KIBWAGIZO
Na ndugu zangu wasambaa kwa nini majina yenu yote yanaanzia na She she she? Shehulosa,Shehasi,Shehemweri,Shelukosi,angalieni hata msije mkasema shetani ndugu yenu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ilikuwa burudani sana yaani nilitaka kuandika mstari mmoja tu nikajikuta nimeandika nyimbo nzima kwa burudani iliyopo kwenye hii nyimbo.
Watoto waliozaliwa 2000 wamezikosa burudani hizi
Zamani wasanii walisimama katika dhima halisi ya sanaa(kuelimisha, kusisimua, kuburudisha na kuonya), siku hizi asilimia kubwa ya wasanii wamesimamia sehemu moja tu ambayo inawapa wateja wengi zaidi nayo ni kuburudisha tu na sio mambo mengine na ndiomana hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya mdundo na maneno yasiyoeleweka yanaanzia wap yanaishia wapAmini mkuu
Hivi kina Chino sijui chinawaman, jaiva, mabantu wanaimba nn
Ukisikiliza nyimbo zao hakuna rhymes, hakuna rhythm ,hakuna ujumbe
Na kwenye video yake alipomuuliza hilo swali rafiki yake ambaye ni msambaa alikasirika akaanza kumkibiza na bakora ilikuwa inanichekesha sana aisee😀😀😀😀😀Hapo kwenye she she ndo palikuaga pananivu ja mbafu sangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AYMimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.