Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Na bado.Huoni Bw. Mbatia sasa hivi anaongea kama chizi ? Kwa sababu Mbatia huyu siyo Mbatia yule kabisa .Mara ooh waziri mkuu ajiuzulu kupisha Rais kuunda serikali upya,mara ooh Mama amuite Tundu Lissu arudi nyumbani utadhani kuna mtu alimfukuza. Yaani ni ujinga ,tena ujinga kisha ujinga .Kumbe ubunge ulikuwa umewatuliza watu vichwa visipate moto.Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.
Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.
Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.
Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Walikuibia mumeo?Majizi chadema wanasemaje?
Mipaka huainishwa na sheria na katiba yenyewe siyo mtu anaamka asubuhi na kutangaza marufuku ya mikutano jambo ambalo limefanyika toka mfumo wa vyama vingi uanze. Haki ya kujumuika iko wapi?Hilo la kuwapa watu ubunge kinyume na katiba sina uhakika.
Ila ibara ya 30 inakupa majibu haki nazo zinamipaka.
Lissu yupo?yani wapinzani wapigwe butwaa kuona mkusanyiko wa fisi ??
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.
Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.
Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.
Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
ni ngekuwa karibu na mtoa mada ningepiga kibao kimoja mpaka azunguke
Nikajua umeshafariki kuunga mkono juhudi!Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.
Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.
Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.
Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Muulize Maghufuli na Mangula wakupe habariAcha utani wa kitoto.
Halafu wametumia muda mwingi kugombana na HAYATI, matusi ya kutosha yameporomoshwa kwa HAYATI. Sasa watulie wamuache mama afanye kazi, maandamano hayana tija. Katiba tuliyo nayo ndiyo imekuwa kichocheo kikubwa cha UTULIVU NCHI ILIO NA NA PIA UTULIVU NDANI YA CCM.Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.
Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.
Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.
Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
mLISHANGILIA NA KUKESHA MKINYWA MVINYO ETI SASA KODI HAMTALIPA, jiandae leo tarehe 29/4/2021 ya Kaisari inahitajika kabla ya tarehe 5/5/2021. Nawasalimu katika jinala jamhuri ya Tanzania. KAZI IENDELEE ALIPOISHIA HAYATIHivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee.
Katiba kuvunjwa si jambo la kushangaza kwa serikali hii ya CCM. Mifano ipo mingi.1) Kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na watu kutoa maoni yao
2) Kuwapa ubunge watu kinyume na katiba
3) Kufanya matumizi nje ya ya badget iliyoidhinishwa na bunge kama inavyoagizwa na katiba, orodha ni ndefu.
Kama ni kuvurugana kutokana na kuvunja katiba ingekwisha vurugwa.
Halafu mnategemea kuchukua dola kwa aina ya uongozi wa kina LEMA .Muendelee kushika adabu kwetu sisi mabosi wenu wananchi, mkileta jeuri na kujimwambafai walahi wote mtaendelea kufa mmoja baada ya mwingine kama alivyotoa unabii Godbless Lema!
Wapuuzi wasiojielewa wanapatikana mtaa wa Lumumba. Sukuma gangs mmejisalimisha kwa mama ?!Mpuuzi mkubwa.
Kwanini apigwe ban hahaa!?Huyu mtu apigwe ban ya mwaka Moderator
Au nasema uongo ndugu zangu?Muendelee kushika adabu kwetu sisi mabosi wenu wananchi, mkileta jeuri na kujimwambafai walahi wote mtaendelea kufa mmoja baada ya mwingine kama alivyotoa unabii Godbless Lema!
Lakini hawana njaa na hawaiabi kwa mashemeji Kama wewe.Wamefedheheka na mshikamano na utulivu uliopo CCM,wapinzani wa nchi hii ni wakuonea huruma sana.