Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

Kinyume chake, wapinzani wanasubiriwa kwa hamu ccm wampitishe mama Samia awe Mwenyekiti wa ccm ili ajielekeze kufanya mabadiliko katika ushiriki wa vyama vya upinzani katika siasa za Tanzania kwa nguvu zote.

Inaonekana wazi mama Samia na vya kunyonga ni mbalimbali. Hataki vya kharamu. Anataka Halal. Hii habari ya ccm kuvuna ushindi kwa uporaji naona ndio mwisho.

Samia ndio chaguo poa hata kwa upinzani. Kwa hiyo rekebisha tafsiri zako
 
Mbwembwe zinawaponza ona Sasa Yuko chini siku ya 40
Tuheshimiane tu
 
Kuna mshikamano gani wakati mnatembea na maji ya kunywa mkononi.Ukijisahau kidogo unawekewa sumu ufie mbali.Huo ni sawasawa na mkusanyiko wa wachawi!!! 😱 🀣🀣🀣
Duuu! Umepiga mule mule. Wachawi na wezi pia.
 
CCM ndio babalao

Anayetaka kubishana na hili aje sasaπŸ˜…πŸ˜…πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Naam, babalao katika wizi na uporaji. Chama gani cha siasa bila polisi hamna kitu?
 
Hilo la kuwapa watu ubunge kinyume na katiba sina uhakika.

Ila ibara ya 30 inakupa majibu haki nazo zinamipaka.
Mipaka inayowekwa na tamko la rais Magufuli kwamba marufuku vyama vya upinzani kufanya kazi zao, na kwamba Polepole na Bashiru wako huru kufanya mikutano popote nchini.

Rais Magufuli alivunja katiba alipoapa kuviua vyama vya upinzani kufikia 2020, ambapo vipo kikatiba na kisheria.

Yote hayo mnameza tu na kujifanya hamuoni
 
Unaelewa maana ya babalao lakini?!!
Naelewa sana mama D. Ila sina uhakika kama kweli unaijua vizuri ccm. Ni chama pekee kipo madarakani, baada ya kujigeuza toka TANU tangu uhuru. Haya maufisadi yooote, wizi, mikataba mibovu, ndio matunda yake. Kwaiyo ukiniambia kwamba ccm ni babalao, sitakubishia, ila ni katika hayo. Upo mamaa?
 

Wanaofanya ufisadi ni watu ambao ni wanachama na sio chama. Ndio maana fisadi lowasa alistaafishwa CCM akakatwa..... akakimbilia chadema na chadema wakampokea kwa nderemo

Hii ndio CCM babalao na CCM imara
 
Wanaofanya ufisadi ni watu ambao ni wanachama na sio chama. Ndio maana fisadi lowasa alistaafishwa CCM akakatwa..... akakimbilia chadema na chadema wakampokea kwa nderemo

Hii ndio CCM babalao na CCM imara
CDM walivyoanza kumsafisha wakiongozwa na yule mbeijing ndipo nilipowaona chenga tu.
 
CDM walivyoanza kumsafisha wakiongozwa na yule mbeijing ndipo nilipowaona chenga tu.

Yaani Chadema ni chenga zaidi ya chenga zenyeweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Walichagua kumsafisha Lowasa Na kumtupa Dr Slaa

Ukiwasikia wanavyotukana CCM utadhani watu kumbe...
 
Yaani Chadema ni chenga zaidi ya chenga zenyewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Walichagua kumsafisha Lowasa Na kumtupa Dr Slaa

Ukiwasikia wanavyotukana CCM utadhani watu kumbe...
[emoji38][emoji38][emoji38]
Wazee wa matukio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo walikaa waone upepo unaendaje[emoji1787]
 
Walikwambia au hisia zako? Nahisi wewe ndiyo ulidhania hivyo.
 
Waacheni waandamae eeeh...., CCM mbele kwa mbele....

Tuwape flavor kidogo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji108]
Wakija hapa wataporomosha matusi utadhani pale ufipa wana kiwanda cha kufyatua matusi[emoji1787]
 
Chaka komavu hakiogopi sandusky la kura,hakiogopi kukosokewa,hakuna haha ya kutumia dola kunyamazisha wenye mawazo mbadala,sema mengine ila sii hayo nadni ya chama chenyewe hawana uthubutu wa kuacha ushindani wa nafasi kwa anaekubalika zaidi ya mwingine, sasa najiuliza anayefanya vyema na anaekubalika zaidi , kwanini asipewe nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…