Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Siku nyingine mtajifunza kuwa ni kosa kubwa sana kumpa uongozi mkubwa mwanamke, wanawake hawajawahi kubadilika tabia zao za asiliMoja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.
Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake vya kuzingatia misingi ya haki za mwananchi zikizopo Kikatiba.
Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivinja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.
Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.
Tangu alipoingia Jaji Ramadhan Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali.
Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola
Kitendo cha Jeshi la Magereza kumuhamisha Tundu Lissu gereza bila amri na maelekezo ya Mahakama tu kilipaswa kutolewa kalipio kubwa sana na Mahakama. Hii ni kwa sababu endapo Tundu Lissu akifa au lolote likimpata Wachunguzi watakachochunguza cha kwanza ni kama kulikuwa na Maelekezo ya Mahakama kumuhamisha Gerezani.
Kitendo cha kutomleta Mahakamani Tundu Lissu na kumkatalia kuonana na Mawakili wake, kilipaswa pia kukaripiwa sana na Mahakama kwa sababu kwa mujibu wa Katiba yetu ambayo ndo Sheria mama na Kuu, Mtuhumiwa anapaswa kusikilizwa, kupata haki za kuwakilishwa na kutotendewa kama ameshatiwa hatiani.
Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama. Na hapa sijazungumzia vitendo vya Kwaya ya Mahakama kubeba picha ya Rais na kuimba nyimbo za kumsifia Rais
Kwa hali hii tuliyofikia ya Mahakama kumezwa na dola sioni tumaini lolote lile kwa Wananchi wa Tanzania zaidi ya Mapinduzi ya Kijeshi.
Profesa Juma na Jaji Chande. Mtalaaniwa Milele kwa kuifikisha hapa Mahakama.
Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.
Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake kwa kuzingatia misingi ya haki iliyopo Kikatiba.
Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivinja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.
Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.
Tangu alipoingia Jaji Othman Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali, ukimezwa na kutekwa kabisa na dola ya Serikali.
Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola
Kitendo cha Jeshi la Magereza kumuhamisha Tundu Lissu gereza bila amri na maelekezo ya Mahakama tu kilipaswa kutolewa kalipio kubwa sana na Mahakama. Hii ni kwa sababu endapo Tundu Lissu akifa au lolote likimpata Wachunguzi watakachochunguza cha kwanza ni kama kulikuwa na Maelekezo ya Mahakama kumuhamisha Gerezani.
Kitendo cha kutomleta Mahakamani Tundu Lissu na kumkatalia kuonana na Mawakili wake, kilipaswa pia kukaripiwa sana na Mahakama kwa sababu kwa mujibu wa Katiba yetu ambayo ndo Sheria mama na Kuu, Mtuhumiwa anapaswa kusikilizwa, kupata haki za kuwakilishwa na kutotendewa kama ameshatiwa hatiani.
Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama. Na hapa sijazungumzia vitendo vya Kwaya ya Mahakama kubeba picha ya Rais na kuimba nyimbo za kumsifia Rais
Kwa hali hii tuliyofikia ya Mahakama kumezwa na dola sioni tumaini lolote lile kwa Wananchi wa Tanzania zaidi ya Mapinduzi ya Kijeshi.
Profesa Juma na Jaji Chande. Mtalaaniwa Milele kwa kuifikisha hapa Mahakama.
BUt who CaresTulipofikia kama taifa si kuzuri.
Hii chuki dhidi ya polisi&serikali kuna siku itatufikisha pabaya.
Na hakimu anafukuzia ujaji.Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.
Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake kwa kuzingatia misingi ya haki iliyopo Kikatiba.
Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivinja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.
Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.
Tangu alipoingia Jaji Othman Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali, ukimezwa na kutekwa kabisa na dola ya Serikali.
Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola
Kitendo cha Jeshi la Magereza kumuhamisha Tundu Lissu gereza bila amri na maelekezo ya Mahakama tu kilipaswa kutolewa kalipio kubwa sana na Mahakama. Hii ni kwa sababu endapo Tundu Lissu akifa au lolote likimpata Wachunguzi watakachochunguza cha kwanza ni kama kulikuwa na Maelekezo ya Mahakama kumuhamisha Gerezani.
Kitendo cha kutomleta Mahakamani Tundu Lissu na kumkatalia kuonana na Mawakili wake, kilipaswa pia kukaripiwa sana na Mahakama kwa sababu kwa mujibu wa Katiba yetu ambayo ndo Sheria mama na Kuu, Mtuhumiwa anapaswa kusikilizwa, kupata haki za kuwakilishwa na kutotendewa kama ameshatiwa hatiani.
Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama. Na hapa sijazungumzia vitendo vya Kwaya ya Mahakama kubeba picha ya Rais na kuimba nyimbo za kumsifia Rais
Kwa hali hii tuliyofikia ya Mahakama kumezwa na dola sioni tumaini lolote lile kwa Wananchi wa Tanzania zaidi ya Mapinduzi ya Kijeshi.
Profesa Juma na Jaji Chande. Mtalaaniwa Milele kwa kuifikisha hapa Mahakama.
😀😀Na hakimu anafukuzia ujaji.
Samia amechagua kuondoka madarakani kwa fedheha kubwa sanaSiku nyingine mtajifunza kuwa ni kosa kubwa sana kumpa uongozi mkubwa mwanamke, wanawake hawajawahi kubadilika tabia zao za asili
Samia amechagua kuondoka madarakani kwa fedheha kubwa sana
Upate ujaji kwa kukandamiza haki za msingi za wengine?Na hakimu anafukuzia ujaji.
Kuna maisha baada ya siasa.......hizo comment zako zinatokana tu na tumboMkipewa maelekezo na serikali nyie mnakuja na vitisho... sa mnatakaje?
Kuna maisha baada ya siasa.......hizo comment zako zinatokana tu na tumbo
Ni vizuri tufike huko kubaya ili tuanze upya. Hii State Capture inatisha na inatishia mustakabali wa taifa.Tulipofikia kama taifa si kuzuri.
Hii chuki dhidi ya polisi&serikali kuna siku itatufikisha pabaya.
Kama Lissu, Mnyika na Heche wangekuwa wanawaza matumbo yao saivi wangekuwa wanakula kuku kwa mirija wapo zao Bungeni au Mashambani wanatumia hela walizoongwa na CCM.Fujo zenu zinatokana na matumbo yenu
Inasikitisha Sana.
Kama Lissu, Mnyika na Heche wangekuwa wanawaza matumbo yao saivi wangekuwa wanakula kuku kwa mirija wapo zao Bungeni au Mashambani wanatumia hela walizoongwa na CCM.