Ni msiba! Mahakama imetekwa rasmi na Dola

Ukiangalia kwa jicho la tatu,ccm ni chama cha mapinduzi na kwa upeo wangu vitendo vyote inavyo vifanya ccm kama uuaji,utekaji,unyanyasaji hivi vyote ni vitendo vya kimapinduzi,na hiki chama cha demokrasi na maendeleo isipo fanya jambo basi tutegemee mauaji na mateso mpak dunia itakwisha,hiki kikundi( ccm)ni zaidi ya hatar kwa utu wa binaadam
 
Kwa tulipofikia hapa Matumaini ya Wananchi kufa kutokana na hii State capture ya mifumo iliyotegemewa kusimama na Wananchi basi hatuna budi kusema tuombee tu Mapinduzi ya Kijeshi ili Taifa lisukwe upya.
 
Mahakama inatia aibu kubwa sn
 
Mungu awalaani wote waliopiga wananchi
Na waliowatuma wakawapige.i
Kuna Muda Mungu anatushangaa. Kwa sehemu hili Taifa limefika, Kumsingizia Mungu ni kumuonea.

Kama Wananchi hatujaamua kuchukua hatua basi hatuna budi kulihamasisha Jeshi lichukue hatua kwa niaba yetu.
 
Wengine tayari tuna vilema
Tukiingia barabarani tutamaliziwa ila tunathamini sana mchango na kujitoa kwa wote wanaolipambania taifa hili.
Na watu hao wanapoumizwa ni kama wametuumiza sisi wote.
Tunapiga magoti kuomba sana, na tumaamini Jeshi la Mbinguni lina nguvu zaidi ya Jeshi lolote lile hapa duniani na kuzimu.

Sasa Bwana na ataenda kupigana kumuokoa mwenye haki wake.
Nyuma ya haya ipo backup kubwa ya maombi wanayoomba wapenda haki.

Wanyang'anyi wachukue tahadhari,
Mungu hatishwi na Silaha Wala mabavu.. akiamua kuwatandika atawatandika pamoja na Silaha zao.
 
Nyie CCM na Usalama wa Taifa.

Tatizo la wapinzani ni kuropoka mambo msiyokuwa na uthibitisho wake.

Unaweza kuthibitisha ulichokiandika hapo??

Serikali haiwezi kufanya huo ujinga kwa tundu. Akikosea atashughulikiwa kisheria kama sasa
 
Embu osha kwanza papuchi yako ndo uje kuchangia hapa usije ukaachia nuksi wewe bibi.

Tatizo lenu mlioamua kuleft group na kugeuza viny$@ kuwa papuchi ndio midomo michafu kama wako.

Rudi kundini shoga
 
Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.

Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...

Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake kwa kuzingatia misingi ya haki iliyopo Kikatiba.

Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.

Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba

Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivunja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.

Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.

Tangu alipoingia Jaji Othman Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali, ukimezwa na kutekwa kabisa na dola ya Serikali.

Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola ya Serikali.

Kitendo cha Jeshi la Magereza kumuhamisha Tundu Lissu gereza bila amri na maelekezo ya Mahakama tu kilipaswa kutolewa kalipio kubwa sana na Mahakama. Hii ni kwa sababu endapo Tundu Lissu akifa au lolote likimpata Wachunguzi watakachochunguza cha kwanza watakachoanza nacho ni kama kulikuwa na Maelekezo ya Mahakama kumuhamisha Gereza.

Kitendo cha kutomleta Mahakamani Tundu Lissu na kumkatalia kuonana na Mawakili wake, kilipaswa pia kukaripiwa sana na Mahakama kwa sababu kwa mujibu wa Katiba yetu ambayo ndo Sheria mama na Kuu, Mtuhumiwa anapaswa kusikilizwa, kupata haki za kuwakilishwa ikiwemo kuonana na Wakili wake pamoja na kutotendewa kama ameshatiwa hatiani.

Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama. Na hapa sijazungumzia vitendo vya Kwaya ya Mahakama kubeba picha ya Rais na kuimba nyimbo za kumsifia Rais. Sijazungumzia vitendo vya Wabunge 19 wa Chadema waliovuliwa ubunge na Chama Chao kuendelea kuwa Bungeni kinyume na Katiba huku wakila kodi za Wananchi pamoja na Mahakama kusema hawastahili kuwa Wabunge.

Kwa hali hii tuliyofikia ya Mahakama kumezwa na dola sioni tumaini lolote lile kwa Wananchi wa Tanzania zaidi ya Mapinduzi ya Kijeshi.

Profesa Juma na Jaji Chande. Mtalaaniwa Milele kwa kuifikisha hapa Mahakama.

je utendaji wa kazi wa mtu na misingi ya dini yake vina mahusiano?
 
Tatizo la wapinzani ni kuropoka mambo msiyokuwa na uthibitisho wake.

Unaweza kuthibitisha ulichokiandika hapo??

Serikali haiwezi kufanya huo ujinga kwa tundu. Akikosea atashughulikiwa kisheria kama sasa
Kuna uthibitisho zaidi ya kutokanatwa kwa watu wanaofanya hivyo vitendo?

Kama sio nyie nani aliyeondoa CCTV cameras kwenye majengo ambayo Lissu alipigiwa risasi?

Endeleeni kutuona Wajinga tu.
 
Leta wewe uthibitisho wa aliyeondoa camera
 
Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.

Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...

Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake kwa kuzingatia misingi ya haki iliyopo Kikatiba.

Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.

Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba

Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivunja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.

Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.

Tangu alipoingia Jaji Othman Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali, ukimezwa na kutekwa kabisa na dola ya Serikali.

Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola ya Serikali.

Kitendo cha Jeshi la Magereza kumuhamisha Tundu Lissu gereza bila amri na maelekezo ya Mahakama tu kilipaswa kutolewa kalipio kubwa sana na Mahakama. Hii ni kwa sababu endapo Tundu Lissu akifa au lolote likimpata Wachunguzi watakachochunguza cha kwanza watakachoanza nacho ni kama kulikuwa na Maelekezo ya Mahakama kumuhamisha Gereza.

Kitendo cha kutomleta Mahakamani Tundu Lissu na kumkatalia kuonana na Mawakili wake, kilipaswa pia kukaripiwa sana na Mahakama kwa sababu kwa mujibu wa Katiba yetu ambayo ndo Sheria mama na Kuu, Mtuhumiwa anapaswa kusikilizwa, kupata haki za kuwakilishwa ikiwemo kuonana na Wakili wake pamoja na kutotendewa kama ameshatiwa hatiani.

Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama. Na hapa sijazungumzia vitendo vya Kwaya ya Mahakama kubeba picha ya Rais na kuimba nyimbo za kumsifia Rais. Sijazungumzia vitendo vya Wabunge 19 wa Chadema waliovuliwa ubunge na Chama Chao kuendelea kuwa Bungeni kinyume na Katiba huku wakila kodi za Wananchi pamoja na Mahakama kusema hawastahili kuwa Wabunge.

Kwa hali hii tuliyofikia ya Mahakama kumezwa na dola sioni tumaini lolote lile kwa Wananchi wa Tanzania zaidi ya Mapinduzi ya Kijeshi.

Profesa Juma na Jaji Chande. Mtalaaniwa Milele kwa kuifikisha hapa Mahakama.
Aisee
 
Tatizo la wapinzani ni kuropoka mambo msiyokuwa na uthibitisho wake.

Unaweza kuthibitisha ulichokiandika hapo??

Serikali haiwezi kufanya huo ujinga kwa tundu. Akikosea atashughulikiwa kisheria kama sasa
Ni kweli Wapinzani ni waropokaji ila hili la uchafuzi wa uchaguzi limeshuhudiwa na wananchi. Ni la kweli Serikali iliondie ili HAKI ionekane kama siyo kulipunguza kabisa linatia doa taifa.
 
Tatizo lenu mlioamua kuleft group na kugeuza viny$@ kuwa papuchi ndio midomo michafu kama wako.

Rudi kundini shoga
Naona sasa umeanza kutoa siri nje humu jukwaani. Mchunge sana na huyo kijana wako mwingine wahuni wasije wakamfokoa mtrakoo! ukaanza kulia lia hapa jukwaan.

Nyambaafuu!
 
Ni kweli Wapinzani ni waropokaji ila hili la uchafuzi wa uchaguzi limeshuhudiwa na wananchi. Ni la kweli Serikali iliondie ili HAKI ionekane kama siyo kulipunguza kabisa linatia doa taifa.

Wapinza wanadeka na kulialia badala ya kuja na mbinu za kwenda mbele.

Wanatakiwa kutambua kuwa kuna chama halafu kuna dola.

Na hakuna chama kinadeka au kufanya vurugu au kutofuata sheria za nchi kinachoweza kushika dola.

CCM wanatamani na wana haki ya kushika dola kama wanavyotamani chadema.
 
Back
Top Bottom