Toa unafiki wako hapa wa kukariri vifungu huku mnashangilia ukandamizwaji wa haki..2 TIMOTHEO 2:19
"Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu"
Kama chadema ilivyotekwa na Mariah sarungi..Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.
Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake kwa kuzingatia misingi ya haki iliyopo Kikatiba.
Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivunja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.
Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.
Tangu alipoingia Jaji Othman Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali, ukimezwa na kutekwa kabisa na dola ya Serikali.
Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola
Kitendo cha Jeshi la Magereza kumuhamisha Tundu Lissu gereza bila amri na maelekezo ya Mahakama tu kilipaswa kutolewa kalipio kubwa sana na Mahakama. Hii ni kwa sababu endapo Tundu Lissu akifa au lolote likimpata Wachunguzi watakachochunguza cha kwanza watakachoanza nacho ni kama kulikuwa na Maelekezo ya Mahakama kumuhamisha Gereza.
Kitendo cha kutomleta Mahakamani Tundu Lissu na kumkatalia kuonana na Mawakili wake, kilipaswa pia kukaripiwa sana na Mahakama kwa sababu kwa mujibu wa Katiba yetu ambayo ndo Sheria mama na Kuu, Mtuhumiwa anapaswa kusikilizwa, kupata haki za kuwakilishwa ikiwemo kuonana na Wakili wake pamoja na kutotendewa kama ameshatiwa hatiani.
Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama. Na hapa sijazungumzia vitendo vya Kwaya ya Mahakama kubeba picha ya Rais na kuimba nyimbo za kumsifia Rais. Sijazungumzia vitendo vya Wabunge 19 wa Chadema waliovuliwa ubunge na Chama Chao kuendelea kuwa Bungeni huku wakila kodi za Wananchi pamoja na Mahakama kusema hawastahili kuwa Wabunge.
Kwa hali hii tuliyofikia ya Mahakama kumezwa na dola sioni tumaini lolote lile kwa Wananchi wa Tanzania zaidi ya Mapinduzi ya Kijeshi.
Profesa Juma na Jaji Chande. Mtalaaniwa Milele kwa kuifikisha hapa Mahakama.
Ulikuwa hujui. Mahakama inapogeuka chaka la chawa jua hakuna haki hata kidogo.Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.
Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake kwa kuzingatia misingi ya haki iliyopo Kikatiba.
Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivunja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.
Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.
Tangu alipoingia Jaji Othman Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali, ukimezwa na kutekwa kabisa na dola ya Serikali.
Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola
Kitendo cha Jeshi la Magereza kumuhamisha Tundu Lissu gereza bila amri na maelekezo ya Mahakama tu kilipaswa kutolewa kalipio kubwa sana na Mahakama. Hii ni kwa sababu endapo Tundu Lissu akifa au lolote likimpata Wachunguzi watakachochunguza cha kwanza watakachoanza nacho ni kama kulikuwa na Maelekezo ya Mahakama kumuhamisha Gereza.
Kitendo cha kutomleta Mahakamani Tundu Lissu na kumkatalia kuonana na Mawakili wake, kilipaswa pia kukaripiwa sana na Mahakama kwa sababu kwa mujibu wa Katiba yetu ambayo ndo Sheria mama na Kuu, Mtuhumiwa anapaswa kusikilizwa, kupata haki za kuwakilishwa ikiwemo kuonana na Wakili wake pamoja na kutotendewa kama ameshatiwa hatiani.
Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama. Na hapa sijazungumzia vitendo vya Kwaya ya Mahakama kubeba picha ya Rais na kuimba nyimbo za kumsifia Rais. Sijazungumzia vitendo vya Wabunge 19 wa Chadema waliovuliwa ubunge na Chama Chao kuendelea kuwa Bungeni huku wakila kodi za Wananchi pamoja na Mahakama kusema hawastahili kuwa Wabunge.
Kwa hali hii tuliyofikia ya Mahakama kumezwa na dola sioni tumaini lolote lile kwa Wananchi wa Tanzania zaidi ya Mapinduzi ya Kijeshi.
Profesa Juma na Jaji Chande. Mtalaaniwa Milele kwa kuifikisha hapa Mahakama.
Umeshamsahau Magufuli? Hao vibaraka walikimbia nchi huyo unayemsema vibaya ndiyo kawarudisha. Au kwa kuwa ninyi ni nyumbu mlitegemea Rais akiwa mwanamke ni wa kumchezea, hana mamlaka kamili? Huyo ni Mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu madaraka yake ni yale yale, vyombo vya dola ni vile vile, ameapa kuilinda nchi hii, mtashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Halafu Rais haingilii kazi za kila siku ya vyombo vya usalama. Rais wetu yuko imara hamtafanikiwa kufanya upuuzi wenu huo mlioupanga.Siku nyingine mtajifunza kuwa ni kosa kubwa sana kumpa uongozi mkubwa mwanamke, wanawake hawajawahi kubadilika tabia zao za asili
Umepanick eeehToa unafiki wako hapa wa kukariri vifungu huku mnashangilia ukandamizwaji wa haki..
Sisiem hawawezi kukuelewa, laana imeshapenya ndani yao kiasi kwamba hawawezi kupokea maonyo tena kama farao2 TIMOTHEO 2:19
"Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu"
wanawake hawajawahi kubadilika tabia zao za asili
Kwani alipewa na nani huo uongozi!Siku nyingine mtajifunza kuwa ni kosa kubwa sana kumpa uongozi mkubwa mwanamke, wanawake hawajawahi kubadilika tabia zao za asili
Shikamoo sana.Kama Wakili Mkongwe, nimesikitika sana kwa hali hii ilipofikia Mahakama.
mama D acha kulihusisha neno la Mungu na haya matendo yanayofanywa na hawa watawala wenu wenye roho za kishetani.2 TIMOTHEO 2:19
"Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu"
MarhabaShikamoo sana.
Kumbe kutibiwa risasi 16 mlizompiga ndo kujaza matumbo sio?Walienda kujaza matumbo yao canada na ubelgiji miaka 5. Wewe ulikua wapi
Kumbe kutibiwa risasi 16 mlizompiga ndo kujaza matumbo sio?
Walianza kuuharibu Usalama wa Taifa, Wakaja Jeshi la Wananchi sasa Mahakama.Ulikuwa hujui. Mahakama inapogeuka chaka la chawa jua hakuna haki hata kidogo.
Nyie CCM na Usalama wa Taifa.Alipigwa na nani?
MIMI NATAMANI JESHI LICHUKUE NCHIMoja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.
Majaji hawa walitengeneza Mhimili ambao sio tu Serikali waliuheshimu bali kutowaza hata kuuingilia...
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa Majaji na Mahakimu walitoa hukumu dhidi ya Serikali na matakwa ya Serikali na vyombo vyake kwa kuzingatia misingi ya haki iliyopo Kikatiba.
Katika Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ilitamkwa na Mahakama kuwa kinyume na Katiba hadi kupelekea Serikali kusitisha taratibu za kuwaweka watu vizuizini chini ya Sheria ile.
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, Mahakama ilisema Mgombea binafsi ni haki ya Kikatiba
Katika kipindi cha Majaji Wakuu hawa, haki za binadamu zilikuwa zinawekewa misingi ya kimahakama hadi kufanya Serikali iepuke kuzivunja sio tu kwa kificho bali hata waziwazi.
Kipindi cha Majaji Wakuu hawa, ilikuwa ikitokea umemuona Jaji Mkuu kwenye shughuli za Serikali ilikuwa labda iwe uapisho wa Rais au kuzinduliwa kwa Bunge. Majaji na Mahakimu waliheshimika kweli.
Tangu alipoingia Jaji Othman Chande na sasa Jaji Prof. Ibrahim Juma, tumeanza kuona Mhimili wa Mahakama ukiwa sehemu ya Serikali, ukimezwa na kutekwa kabisa na dola ya Serikali.
Maamuzi madogo yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu leo hii ya kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kikatiba ya kuja Mahakamani kuonana na Mawakili wake na Kusikilizwa kwa namna anavyotaka yeye kama Mtuhumiwa ni kielelezo tosha kuwa Mhimili wa Mahakama umejifia baada ya kutekwa rasmi na dola ya Serikali.