Ni msiba! Mahakama imetekwa rasmi na Dola

Naona sasa umeanza kutoa siri nje humu jukwaani. Mchunge sana na huyo kijana wako mwingine wahuni wasije wakamfokoa mtrakoo! ukaanza kulia lia hapa jukwaan.

Nyambaafuu!

Laana hiyo unayo wewe. Endelea kufukuliwa
 
kwa yanayo endelea unatamani hata kitokee kikundi cha waasi na kuanza kuwadungua majaji, polisi na familia zao ili nao waonje uchungu wa haya
 
kwa yanayo endelea unatamani hata kitokee kikundi cha waasi na kuanza kuwadungua majaji, polisi na familia zao ili nao waonje uchungu wa haya
Kianze kwanza na Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Top wote wa CCM na Kamati Kuu Yao
 
Mhimili wa mahakama umefifia ndio maana katiba mpya ni muhimu
 
Mhimili wa mahakama umefifia ndio maana katiba mpya ni muhimu
Kwa hali ilivyo hakuna namna zaidi ya Jeshi kupindua Serikali na kusimika Katiba Mpya ili tuweze kuliponya hili Taifa na huu upuuzi
 
That's too little too late.

Hayo yote yalifanyika kabla ya 2015 na baadae ukaona yalotokea.

Ni blue print ya wale jamaa wale.
 
Ni ndoto, kama baada ya kustaafu mahakama ya rufaa alimchukua akawa mshauri wake na ameshindwa kumsaidia kufuata sheria …ataenda kufanya nini pale ?? Ina maana kwenye majaji wote active kwenye bench la mahakama ya rufaa hakuna hata mmoja ametosha kuchukua nafasi ya anayemaliza muda wake ?? Mbona tunatafuta migogoro bila sababu ?
Hapa tu karibuni yeye mwenyewe siku ya sheria alisema kuwa Hataki tena ugomvi na majaji “..Jaji mkuu Ibrahim mara hii ukimaliza muda nitakuacha uende ..sintakuongeza muda “
Ikubumbukwe kuna jaji wa mahakama ya rufani alifungua kesi kupinga Jaji Ibrahim Juma kuongezwa muda wa kutumikia kwa kuwa ni kinyume cha katiba kwani alikuwa amepitiliza umri wake …
Na Je ukiacha kwamba huyu alishaondoka na kwenda kuwa mshauri wa Rais ; ana umri gani ?..je umri wake upo kikatiba hata kama wataamua kufumbia macho suala la yeye kuwa alishaondoka mahakama ya rufaa ?

Pengine anaweza kumchukua sasa Jaji Ibrahim kuwa mshauri wake …
 
Siku nyingine mtajifunza kuwa ni kosa kubwa sana kumpa uongozi mkubwa mwanamke, wanawake hawajawahi kubadilika tabia zao za asili
Sio wanawake ni mwelekeo wa chamadola ulianzia kwa mwenda zake alikuwa anatamani kila shauri linaloihusu serikali lazima washinde.
 

Ukweli mchungu Sana ni kwamba, Kweli kabisa Mahakama ya Tanzania kwa Sasa imepoteza kabisa dira na mwelekeo wake katika kufanya kazi zake za kutafsiri Sheria na Kutoa HAKI. Hali hii ni hatari kubwa sana kwa usalama wa nchi na AMANI. Watu wamepoteza Imani dhidi ya Mahakama, kitakachofuatia ni hatari kubwa sana. Watu wataanza kujichukulia Sheria mikononi mwao bila ya kujali uwepo wa Mfumo wa Utoaji Haki. Hatari ni kubwa sana ipo mbele yetu, tutarajie pia matukio mabaya ya Watu kuanza kujitoa mhanga ili kupigania HAKI zao zilizodhulumiwa, tukio lile la Bw. Hamza Mohammed pale Daraja la Sealander Dsm ni kama uzinduzi rasmi wa ufunguzi wa milango ya Jehanamu hapa Tanzania baada ya Watu kupoteza kabisa Imani dhidi ya Mahakama
 
Hatuna mhimili wa Mahakama. Tuna chombo cha Serikali kinachotumika kukandamiza Haki
 
Hatuna mhimili wa Mahakama. Tuna chombo cha Serikali kinachotumika kukandamiza Haki
Wakati njia halali za Watu kuweza kupita ili kuzifikia HAKI zao zilizodhulumiwa inapofungwa, basi Watu hao watalazimika kupita katika njia haramu ili waweze kuzifikia Haki zao.

Aidha, kadiri uovu na udhalimu vinaposhamiri na kuzidi kikomo katika Nchi, hofu ya kifo huondoka na Watu wataamua kutumia njia yoyote ile watakayoona inafaa ili kudai na kupigania HAKI zao.
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
By Martin Luther King Jr.


Naamini haitachukua muda mrefu sana mambo kama haya yatabakia kuwa historia.

Muda utaongea, let us wait and see!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…