Thank you Jorojik for sharing your thoughts. While I personally do not carry stress—because Christ sustains me daily—if you are experiencing it, I encourage you to bring it to Jesus. He lovingly invites, “Come to Me, all you who labor and are heavy laden, and I will give you rest” (Matthew 11:28). His peace is real, deeper than human understanding, and freely available to all who come to Him in faith.Stress is real.
Tatizo la haya yote ni katiba mbovu na tume ya uchaguziNdugu yangu, siku yako ya mwisho duniani ikifika, kama unataka kuambiwa 'pumzika kwa amani' na isiwe maneno matupu, tubu dhambi zako sasa. Mpokee Yesu, na uishi maisha ya utakatifu. Kwa njia hiyo utakufa ukiwa na tumaini la kweli la uzima wa milele.
Kama uko tayari sasa kutubu dhambi zako na kuokoka, fuatisha sala hii ya toba. Omba hivi:
“Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”
Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.
Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote
(2 Wakorintho 13:14)
Ina maana we huoni Views? Ndani ya masaa machache tu karibu 1K.Hivi hizi "documentaries" zinapata watu wa kuzisoma?
Hizi ni hadithi tu, hazina uhalisia.Ina maana we huoni Views? Ndani ya masaa machache tu karibu 1K.
Anyway, hata kama watu wanaruka, hawasomi, tayari ni ushuhuda. Hawatakuwa na udhuru siku ya mwisho kwamba hawakusikia/hawakuambiwa. Yesu ametuagiza tuhubiri Injili kwa mataifa yote ili iwe ushuhuda kabla ule mwisho haujaja.
Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja - Mt 24:14
Wanaopuuza kusoma Neno la Mungu watalia na kusaga meno
Tatizo ni dhambi zetu sisi wenyewe. Hapo mwanzo dunia ilikuwa nzuri sana - yenye amani, haki na raha. Lakini uasi wetu wanadamu ndio ulisababisha matatizo tunayoyaona duniani. Kwani USA hakuna katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi? Mbona maandamano na risasi havikomi?Tatizo la haya yote ni katiba mbovu na tume ya uchaguzi
Waefeso 5: 3-5Hivi si mtu ampe 🍆 mboga dada mlokole
Ndio, nimeokoka. Na wewe BIN NUN kama hujaokoka fuatisha sala hii ya toba utaokoka sasa hivi:Bila shaka umeokoka..
Maana.
Hazina uhalisia kwako kwa sasa. Lakini siku yako ya mwisho kukaa duniani ikifika ndio utajua kuwa zilikuwa na uhalisia. Ila utakuwa umechelewa kutubu na kumwamini Yesu. Tubu sasa kabla neema haijafungwaHizi ni hadithi tu, hazina uhalisia.
Ninasali Kila siku asubuhi na kabla ya kulala, ninafunga kwa maombi, biblia yote ipo kichwani ila situmii vifungu vya biblia nawaelewesha watu kile nimelewa kwa sababu sio wote wanasoma biblia ila ukiwaelewesha wanaelewaKila dakika watu wanakufa. Utataja jina la nani uache la nani
![]()
Una habari? Watu 7,000 wanakufa kila saa!
Takribani watu 7,000 wanapoteza maisha yao kila saa, duniani. Takwimu hizi zinashtua, ila zinapaswa kutufanya tufikirie kwa kina kuhusu maisha yetu yajayo. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na Idara ya Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa (UN DESA). Sababu za vifo ni...www.jamiiforums.com
Epuka kuwa ajenti wa shetani. Shetani anaichukia Biblia kwa sababu:
- Inaonyesha ukweli wa Mungu na kufichua uongo wa shetani – Biblia inafunua mipango mibaya ya shetani.
- Inawaelekeza watu kwa Yesu Kristo – Shetani hapendi watu wapate wokovu.
- Ni silaha dhidi yake – Yesu alishinda majaribu ya shetani jangwani kwa kutumia Maandiko (Mathayo 4:1-11).
Duh, huu ni wimbo, au?
Tatizo nikikuambia bado hutaamini ndio maana vitu vingine nawakilisha ili siku ukipata macho utasema Ahaaaaaa kumbeHaha, bro/sis wasumu, my Google time is limited nowadays—I'm redeeming the time, coz these days are evil! You know the verse: Ephesians 5:16. So instead of Googling everything, I’d rather spend more time in the Word.
na kila jicho litamwonaTatizo nikikuambia bado hutaamini ndio maana vitu vingine nawakilisha ili siku ukipata macho utasema Ahaaaaaa kumbe