"Ni msiba mzito. Ametutoka, ametuachia pengo kubwa. R.I.P"

Hivi hizi "documentaries" zinapata watu wa kuzisoma?
 
Stress is real.
Thank you Jorojik for sharing your thoughts. While I personally do not carry stress—because Christ sustains me daily—if you are experiencing it, I encourage you to bring it to Jesus. He lovingly invites, “Come to Me, all you who labor and are heavy laden, and I will give you rest” (Matthew 11:28). His peace is real, deeper than human understanding, and freely available to all who come to Him in faith.
 
Tatizo la haya yote ni katiba mbovu na tume ya uchaguzi
 
Hivi hizi "documentaries" zinapata watu wa kuzisoma?
Ina maana we huoni Views? Ndani ya masaa machache tu karibu 1K.
Anyway, hata kama watu wanaruka, hawasomi, tayari ni ushuhuda. Hawatakuwa na udhuru siku ya mwisho kwamba hawakusikia/hawakuambiwa. Yesu ametuagiza tuhubiri Injili kwa mataifa yote ili iwe ushuhuda kabla ule mwisho haujaja.

Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja - Mt 24:14
Wanaopuuza kusoma Neno la Mungu watalia na kusaga meno
 
Hizi ni hadithi tu, hazina uhalisia.
 
Tatizo la haya yote ni katiba mbovu na tume ya uchaguzi
Tatizo ni dhambi zetu sisi wenyewe. Hapo mwanzo dunia ilikuwa nzuri sana - yenye amani, haki na raha. Lakini uasi wetu wanadamu ndio ulisababisha matatizo tunayoyaona duniani. Kwani USA hakuna katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi? Mbona maandamano na risasi havikomi?

Hata hivyo usipate stress, Mbwa dume muda si mrefu mabaya yote yatakwisha
 
Hivi si mtu ampe 🍆 mboga dada mlokole
Waefeso 5: 3-5
Kwa vile nyinyi ni watu wa Mungu, basi uasherati, uchafu wowote ule au choyo visitajwe kamwe miongoni mwenu. Tena maneno ya aibu, ya upuuzi au ubishi, yote hayo hayafai kwenu... Jueni wazi kwamba mwasherati yeyote au mchafu au mchoyo, au mtu yeyote wa aina hiyo hataambulia chochote katika ufalme wa Kristo na wa Mungu.

MUNGU AKUSAMEHE BURE TU Evelyn Salt KWA MAANA HUJUI UTENDALO
 
Bila shaka umeokoka..
Maana.
Ndio, nimeokoka. Na wewe BIN NUN kama hujaokoka fuatisha sala hii ya toba utaokoka sasa hivi:
Omba hivi:
“Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”

Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.
 
Hizi ni hadithi tu, hazina uhalisia.
Hazina uhalisia kwako kwa sasa. Lakini siku yako ya mwisho kukaa duniani ikifika ndio utajua kuwa zilikuwa na uhalisia. Ila utakuwa umechelewa kutubu na kumwamini Yesu. Tubu sasa kabla neema haijafungwa
 
Ninasali Kila siku asubuhi na kabla ya kulala, ninafunga kwa maombi, biblia yote ipo kichwani ila situmii vifungu vya biblia nawaelewesha watu kile nimelewa kwa sababu sio wote wanasoma biblia ila ukiwaelewesha wanaelewa
 
Haha, bro/sis wasumu, my Google time is limited nowadays—I'm redeeming the time, coz these days are evil! You know the verse: Ephesians 5:16. So instead of Googling everything, I’d rather spend more time in the Word.
 
Haha, bro/sis wasumu, my Google time is limited nowadays—I'm redeeming the time, coz these days are evil! You know the verse: Ephesians 5:16. So instead of Googling everything, I’d rather spend more time in the Word.
Tatizo nikikuambia bado hutaamini ndio maana vitu vingine nawakilisha ili siku ukipata macho utasema Ahaaaaaa kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…