GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yanga ni timu bora kuliko Simba 😂😂Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana?
Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
Hatimaye umekubali, eeYanga ni timu bora
Aliyeanzisha uzi ndo kasema hivyo.Hatimaye umekubali, ee
Nakuja na Nyuzi zingine Saba muda si mrefu hivyo kaa tayari Kuzisoma sawa? Akili Kubwa GENTAMYCINE najua kweli Kuwaburuza na kuwafanya Fools kama Wewe muda wote muwe Mnanifuatilia na Mnanisoma sana hapa JamiiForums.Huku anyang'anywe simu. Anaandika ushuzi kila dakika.
Unajua kabisa Chezaji fulani lina Nuksi ( hasa Kinyota ) halafu unalipeleka kufanya Pre Match Meeting na Press kwanini Timu isifungwe tu?
Hongera Genta, uzi wa kizalendo sana.Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana?
Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
Tamu sana.Bangi
Kwanini Mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23] dah
Genta uendelee kuishi miaka mia humu