Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Jiwekee makalioniTamu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwekee makalioniTamu sana.
AahaaaaHuyu anyang'anywe simu. Anaandika ushuzi kila dakika.
Anajikosha tuBaada ya Simba kupigwa, sasa unakuja na nyuzi za kuisifia Yanga. Si ulisema mwezi mtukufu kuna timu itapoteza mechi zote, majini yanagoma. Sasa unaishangilia ya nini.
Mkuu hivi hicho kinywaji katika avata yako bado kinapatikana mtaani??Huyu anyang'anywe simu. Anaandika ushuzi kila dakika.
Poa acha niendelee kua mwendawazimKuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana?
Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
Ili watu wajifunze kutokuwa wapuuzi kama weweKwanini Mkuu?
Uzalendo tena ?Hongera Genta, uzi wa kizalendo sana.
Ndio.Uzalendo tena ?