Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Swali kwenu wadau..

Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ

Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.
 


Huo ni mtazamo wako
 
Inawezekana ikawa kweli Kidingi ila umetumia kigezo gani au followers?? Umeangalia nini
 
Last edited by a moderator:
Hakuna wa kumzidi my gal Shishi baby Beyonce wa Africa. Hao wengine wanaunga tela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…