playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Aaaaah umefeli baab, kikwete hana umaarufu wowote hata Tanzania kwenyewe sehemu kibao hawamfahamu ila ukiuliza Diamond kila mtu anajuwa watoto kibao wanatungiwa majina ya Diamond/ platninum huko vijijini
Kuhusu AY najuwa hata ww umemtaja kwa masihara..
Ukienda nchi za wenzetu huko wengine hawajui hata kama kuna Tanzania, ila wanajuwa kuna MT KILIMANJARO, Na DIAMONDPLATNUMZ
Wenzio hawautaki ww unajilazimisha UCHIZI... Haya hongera