kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Sijakataa ila wema sepetunga ni hatari kwa afya yako
Hapo ni mpambano wa simba vs yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakataa ila wema sepetunga ni hatari kwa afya yako
Hata uwe mbaya vipi huwezi kuizidi nyimbo ya mpya domo but good video audio ntarudi baadae labda masikio yangu mabovuHapo ni mpambano wa simba vs yanga
Hata uwe mbaya vipi huwezi kuizidi nyimbo ya mpya domo but good video audio ntarudi baadae labda masikio yangu mabovu
Sasa kwa nn nisiusikilize mkuu kwani ni vita ila anaelekea kutoa remix na mashauzi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haaah hater bhn hapo ushaisikiliza mara 5 na umeshamtumia baby wko ujumbe na mashairi
shishi baby
Lowasaaaa
Swali kwenu wadau..
Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ
Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.
Mtu maarufu zaidi ni jakaya peke yake. Hakuna anayemzidi
Kikwete huo ndo ukweli...wa pili AY hao wengine watajeni nyny NOTE: Diamond ni maarufu afrika