Ni mtu gani humu JF hutamani apewe ban

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow

Hii ni jamii na jamii ni watu na tupo watu tofauti wenye tabia tofauti na sifa tofauti ni mtu gani wewe utamani apewe ban kabisa anakufurahisha na unamkubali sana mimi na anza na hawa watu

DeepPond huyu kwa story zake huwa zina furahisha lakini zinajenga

Extrovert huyu michango yake kwenye thread huwa ya kibabe lakini pia thread zake zimeenda shule

Iceberg9 huyu pia ni mcheshi sana na ni mtu anaependa mawazo chanya na ni mtu poa sana hakulupuku

Lenie ni mchangamufu sana pia ni mtu yuko peace

Jack Palladino pia
Mshana Jr
GENTAMYCINE mzee wa ukorofi
ndege JOHN
 
Siku izi sijaona watu watata watata...Kuna jamaa aliwai ni attack personal humu kama ananijua vile....

For the first time ever nilijikuta nimekasirika for sure tungepigana tungekua face to face alinitolea maneno ya maudhi na shombo balaa 😈😈
 
Duh pole mda mwingine kuna mambo ni ya kupotezea linda moyo wako kuliko vyote uvilindavyo humu ndimo zina toka chem chem za uzima
 
Kuna wakati tunachafukwa uraiani tunamalizia hasira humu tusameheane mkuuπŸ˜†
 
Jitahidi kufanyia kazi maneno yanayoanzia na herufi "h/H" ili kuleta maana sahihi.

Mfano mdogo tu kwenye kichwa cha habari yako ulitakiwa uandike hutotamani.....badala ya utamani....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…