Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hahaha watu walijiona wamiliki wa jf.Sikuio nilichukia balaa 😈😈 nilicho jifunza Jf ya zaman kulikua na MA TROUBLE MAKER..
Hao watu saiv utawapata kwenye ushabiki wa SIMBA NA YANGA 🤓🤓🤣🤣😂
Ilikuwa ukikoment unakutana na jitu linasema...umejiunga jana huna jipya🤣