Ni mtu gani maarufu anaekujia akilini ukiona hii Picha

Ni mtu gani maarufu anaekujia akilini ukiona hii Picha

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
GOAT - Greatest Of All Time.

Aliewahi kukifanya kitu kwa ubora haijawai tokea

Goat.jpg
 
Hiphop: 2Pac - Hakuishia kuimba tu matusi, starehe, mabifu na kujisifu kama wasanii wengi wa hiphop. kaimba nyimbo maarufu za harakati na kuelimisha

1760390472439.png



Mpira: Messi - wachezaji wenyewe kwenye inteview wanakiri makocha wao wanapanga mabeki watano wamzuie, ndie mchezaji pekee ambae makocha hawawezi kutoa lawama sana kwa wachezaji kushindwa kumzuia.

1760390325127.png


Mziki wa TZ: Profesa Jay , Tangu akiwa anaitwa Niga J miaka ya 90 hiki kichwa hakijawahi kutokea Tz, kwa kiasi kikubwa kafanya muziki wa kisasa uliowahi kuonekana kuwa wa kihuni ukubalike rasmi kwenye jamii.

1760390289667.png


Mpiganaji: jon jones - Achana na Boxing yenye sheria kibao za kupigana na Mieleka ya kucheza script, wanaume wanaopigana wapo UFC, huko ni yale mapigano kama ya mtaani kwa sheria chache, rusha teke, kiduti, kipepsi, ngumi, Taekwondo, ni wewe tu. Na mbabe ni huyo.
1760390252859.png
 
Pele, messi
2pac, wacko jacko, bob marley
Banza stone, tx moshi william, juma nature,
Kofi olomide, kila mbongo..franco
Aki na ukwa
King majuto
Jackie chan
Lufufu mkandala
Isaac newton, tesla, Einstein
Pablo escobar
Lebron james, michael, kobe, curry
 
Leadership - Dr Samia Suluhu
Athletics - Filbert Bayi
Politics - Dr Jakaya Kikwete
Opposition Politics - Freeman Mbowe
Music - Koffi Olomide
Entrepreneurship - Shilole Shishibaby
Football - Samuel Etoo
Threads writing - Lucas Mwashambwa
Social Media politics - Tlaatlaah
 
Humphrey Polepole - Ujasiri wa kukataa wahuni kuongoza nchi.
Ronaldinho Gaucho - Soccer.
Fidel Castro - Revolutionary politics
Ernesto Che Guavara - Freedom Fighting.
Robert Nesta Marley - Philosophical Music.
Wacko Jackal - Dance
Julius Nyerere - Pan Africanism and politics in general.
My father - Stoicism:- Wisdom, resistrain, composure, calmness during testing times. Never got perturbed. He is really a GOAT, my hero, my mentor.
 
Back
Top Bottom