Ndugu zako huwasahau 😁mangi sina wa kibosho
Jamaa alikua mwamba sana , haujawahi msoma bwashee?Ndugu zako huwasahau 😁
sijawahi kumsoma kwa undani kabisaJamaa alikua mwamba sana , haujawahi msoma bwashee?
Msome bwashee , hakuwahi kuwa falasijawahi kumsoma kwa undani kabisa
Utani au kichekesho.nini hiki?
- Hapa "Mziki wa TZ" ndio penye Tatizo.Mziki wa TZ: Profesa Jay , Tangu akiwa anaitwa Niga J miaka ya 90 hiki kichwa hakijawahi kutokea Tz, kwa kiasi kikubwa kafanya muziki wa kisasa uliowahi kuonekana kuwa wa kihuni ukubalike rasmi kwenye jamii.
Hivi humu Kuna Uzi unaomwelezea El Chapo?Joaquín Archivaldo Guzmán Loera (El Chapo) kupambania mafekeche(pesa) bila woga.
23
Pierluigi Collina - Soccer Refereeing
Safi sana kwa kuzingatia kulala nyau wwUsingizi leo umenibana kinoma hadi nimeshindwa kumtaja mbuzi wangu humu.
Matraco yako wewe.Safi sana kwa kuzingatia kulala nyau ww