Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

Wapo watu wengi tu ambao huenda nilikutana nao ila nilikuwa na shauku ya kukutana nae tena,lakini bahati mbaya zaidi wakafariki. The late president magufuli ni miongoni mwa watu ambao sikuwahi kukutana nae,ila nilikuwa na shauku ya kukutana nae nimweleze changamoto kubwa moja kwangu, wanafunzi wanaotoka kaya maskini,waliofaulu kidato cha nne(ikiwemo mimi) wakashindwa kwenda form 5 and 6 wawe wanawezeshwa kiuchumi(mkopo wa kuendelea kidato cha 5 na sita) kama wenzao wa chuo kikuu, sikufanikiwa.. Mtu wa pili ambaye nilishawahi kukutana nae ila nilikuwa na shauku ya kukutana nae pia ni shangazi wa mpenzi wangu,nilikuwa naongea nae kwenye simu,hasa tukijadili mustakabali wa ndoa yetu kati yangu na mpenzi wangu, namtumia vocha,tunacheka,tunataniana pasipo kujua ndo tunaagana hivyo. Ktk harakati za kujifungua kulishindikana,ikabidi apasuliwe,amekaa kama wiki tatu kutoka ktk op. Amefariki, nlitamani aione harusi yetu,ndoa yetu lakini taa imezimika. Rip magufuli, rip shangazi.
 
Back
Top Bottom