Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu .


Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake .

Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka .

Ni swala la muda tu.
 
Mbowe aking'oka, ccm nao wajiandae kukabidhi nchi.
 
Ccm Wana miezi madarakani soon wanakua majobless.

& Kiongozi wetu Lissu ataanza kuwa confiscate vyote walivyo meza
 
Ni suala tu la muda. Hata watumie hila za aina gani, muda ukifika wataondolewa tu madarakani. Even by force!
 
Back
Top Bottom