Kama bado hajakupeleka kuna kitu anaficha.Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano
Natamani kujua ni kwa muda gani mkishakuwa na mahusiano mwanaume anapaswa kukupeleka nyumbani kwake anapoishi ili upajue
Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano
Wengine wamekuwa wakidate na watu ambao hawajawai kufahamu muhusika anapoishi
Napenda kujua hili especially kwa wanaume ni kwa muda gani mnapeleka wanawake kwenye hizo ghetto zenu
Mleta mada akimpigia simu bwanaβake mpya kumuomba ugeni amtembelee kwake weekend hii!!!Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano
Yaan mwezi Mmoja mnakua hamjagongana tu?Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano
Natamani kujua ni kwa muda gani mkishakuwa na mahusiano mwanaume anapaswa kukupeleka nyumbani kwake anapoishi ili upajue
Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano
Wengine wamekuwa wakidate na watu ambao hawajawai kufahamu muhusika anapoishi
Napenda kujua hili especially kwa wanaume ni kwa muda gani mnapeleka wanawake kwenye hizo ghetto zenu
Depend na how utabehave, mpaka aone you are qualifiedKama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano
Natamani kujua ni kwa muda gani mkishakuwa na mahusiano mwanaume anapaswa kukupeleka nyumbani kwake anapoishi ili upajue
Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano
Wengine wamekuwa wakidate na watu ambao hawajawai kufahamu muhusika anapoishi
Napenda kujua hili especially kwa wanaume ni kwa muda gani mnapeleka wanawake kwenye hizo ghetto zenu
Si Kuna hotel mkuuYaan mwezi Mmoja mnakua hamjagongana tu?
ππMleta mada akimpigia simu bwanaβake mpya kumuomba ugeni amtembelee kwake weekend hii!!! View attachment 3221315
ππππππ aiseeee ushapeleka wangapii kwako mkuuKama bado hajakupeleka kuna kitu anaficha.
Mimi ilikuwa kama unachura siku hiyo hiyo unaingia kwangu.
Mwaka na nusu seriously π³Kama ameoa hakupeleki kabisa kama hajaoa angalau baada ya mwaka na nusu
Tena kwa jiraniKama ameoa hakupeleki kabisa kama hajaoa angalau baada ya mwaka na nusu
Kumbe duuhDepend na how utabehave, mpaka aone you are qualified
Hayana formula au muongozo haya mambo ,Mm naona mkiona mmeaminiana MDA wowote Tu onehsaneniKama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..