Ni muda gani inapaswa mwanaume akupeleke kwake baada ya kuanza naye mahusiano?

Ni muda gani inapaswa mwanaume akupeleke kwake baada ya kuanza naye mahusiano?

Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano

Natamani kujua ni kwa muda gani mkishakuwa na mahusiano mwanaume anapaswa kukupeleka nyumbani kwake anapoishi ili upajue

Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano

Wengine wamekuwa wakidate na watu ambao hawajawai kufahamu muhusika anapoishi

Napenda kujua hili especially kwa wanaume ni kwa muda gani mnapeleka wanawake kwenye hizo ghetto zenu
Day one tu, as long as anatoa mzigo
 
Ukiona mwanaume hajakupeleka kwake Kwa muda hata wa miezi 3 jua huna SIFA ya kuwa mke! Maana kama mnaweza kufanya mapenzi walau mara 3 Kwa wiki huko lodge jiulize mtakuwa mnatumia shs ngapi Kwa mwezi iwapo tuchukulie minimum lodge ni shs 20,000/ Bado Kuna kula na expenses nyingine wakati geto lipo wazi kabisa take care
 
Ooh sawq
 
Back
Top Bottom