Ni muda gani inapaswa mwanaume akupeleke kwake baada ya kuanza naye mahusiano?

It depend kuna mtu unamuona uyu kwa jinsi alivyo akipajua kwangu atanisumbua sana
Ni kukutan nae CBD

Kuna mtu unakutan nae anajikuta mtakatifu inabidi unajipa muda ili umchunguze uone kabla y kumleta kwako

Kuna mwngine amenyooka na unaona potential kwake yeye ni siku hiyoiyo inabidi apajue nyumban .

Ila usi judge sana huenda gheto alijakaa sawa jiko kitanda viko sehemu moja mtu analala amesimama au mazingir anapoishi hayaridhishi.

Tatizo mkipajua ndo mnaleta wife duty mara uanze kutaka kuamia , kulipa kodi. unaanza kuacha nguo zko kam pichu eti kulinda territory utazani umechangia Ujenzi
😃😃😃 Mimi siwezi acha nguo kwa mwanaume never.. ukutane na limwanaume halijatulia ni kuingiza wadada tu wakiniroga je kupitia nguo nilizoachaa je
 
Unaogopa nini kumuomba mpenz wako akupeleke kwake au anapoishi?
Shida nini, haujiamini au.
Unadate vp au unakuwa vp na mahusiano serious na mtu na hamjuani mnapokaa?
Uwezi kusema ni mahusiano seriously na ndio kwanza mna mwezi angalau baada ya miezi3 maana maigizo kwa asilimia 69 huwa yanapungua
 
Ndugu yangu ki ukweli mapenzi hayana muongozo hata kidogo kama nilivyokwambia inawezekana hamjuani kabisa na ukaletwa ndani day one au mnajuana kabisa tena vizuri TU na bado ukachukua miezi hata 6 kuletwa ndani
We endana nayo yanavyokuja hayana muongozo
Ooh sauwaa
 
Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano

Natamani kujua ni kwa muda gani mkishakuwa na mahusiano mwanaume anapaswa kukupeleka nyumbani kwake anapoishi ili upajue

Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano

Wengine wamekuwa wakidate na watu ambao hawajawai kufahamu muhusika anapoishi

Napenda kujua hili especially kwa wanaume ni kwa muda gani mnapeleka wanawake kwenye hizo ghetto zenu
kwaiyo iyo mbususu unampea Gest kila siku au
 
Siku hiyo hiyo mkikubalina kuwa wapenzi
 
Kama nitahisi nitakua salama mikononi mwake hata siku hiyo hiyo nampeleka geto!neno mikononi mwake Lina maana pana sana!!!

Ukiona anasita ujue Bado hujafikia viwango fulani labda ufosi tu!!
 
Sawa mkuu acha tuone panapovuja
 
Sawa mkuu acha tuone panapovuja
Sisi wanaume tunaogopa sana kuoa asikwambie mtu!nani anapenda ghafula kuwa na familia tatu za kuhudumia!!?yaani familia yake,kwao na kwenu!!?

Ndoa mwanamke ndio anaipigania Hadi kinaeleweka coz muda unaenda na anaing'ang'ania kama anaona huyo Me Ana potential fulani!

Ukisubiri protocol zifatwe utachelewa sana!Kwa usawa huu nani anataka kuoa zaidi ya kucheza game na Sheria ya ndoa ilivyo mbaya!!?
 
Back
Top Bottom