Ni muda gani inapaswa mwanaume akupeleke kwake baada ya kuanza naye mahusiano?

Kama sio MSD basi USAID. Maana watu wa Guest wanamlalamikia Trump bidhaa hazipatikan😁
Akisitisha na mipira itakua kwisha kazi 😅 zilizopo zitatunzwa na moja itatumiwa na watu watatu. Yaani itachemshwa 😜
 
Hvi binadamu unawajua wewe! Utaskia chukua yangu nilitumia juzi haijachafuka sana.
Ndo utajua soksi hazikutengenezwa kuvaliwa tu miguuni😁
 
Au Vifungashio laini vitaadimika? 😅vya nusu kilo
 
Ila ndugu yangu realMamy iyo tabia yko sijaipenda. Juzi nakukaribisha kiroho safi ukapajue kwangu. Umefika kumbe ndo ulikuja kunichunguza.

Wewe sio wa kuwaambia mashosti zako eti bora ningejifunika Tenga sio kwa neti yangu kutoboka hivyo. Eti shuka zangu sifui zimekua ngumu mpaka zinasimama
😁😁
 
Na kapeti lako la plastic 😜la Draft
 
Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano

Natamani kujua ni kwa muda gani mkishakuwa na mahusiano mwanaume anapaswa kukupeleka nyumbani kwake anapoishi ili upajue

Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano

Wengine wamekuwa wakidate na watu ambao hawajawai kufahamu muhusika anapoishi

Napenda kujua hili especially kwa wanaume ni kwa muda gani mnapeleka wanawake kwenye hizo ghetto zenu
Siku hiyo hiyo
 
Shida mkija magetoni mnaanza kuthaminisha, mnajua tunavyovaa huku nje ni tofauti sana na tunakotokea 😂
 
Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano

Natamani kujua ni kwa muda gani mkishakuwa na mahusiano mwanaume anapaswa kukupeleka nyumbani kwake anapoishi ili upajue

Na je Kuna ubaya wowote kama utamwambia akupeleke nyumbani kwake upajue hata kama mna mwezi mmoja wa mahusiano

Wengine wamekuwa wakidate na watu ambao hawajawai kufahamu muhusika anapoishi

Napenda kujua hili especially kwa wanaume ni kwa muda gani mnapeleka wanawake kwenye hizo ghetto zenu
Unaweza kuoga choo cha nje wewe?
 
Unaweza kuoga choo cha nje wewe?
😄😄 daaah umenikumbusha Kuna Kijana kapanga zile nyumba za ndani yaani mwenye nyumba yupo humohumo kwaiyo kupewa chumba nahisi kilikuwa cha watoto halafu Kijana wa mwenye nyumba ni bubu halafu choo cha nnje🤣 tuishie hapa maana story inachekeshaa mno
 
Back
Top Bottom