- Thread starter
- #41
Je Kama mmekutana tu hamfahamiani kabisaaAnyway niseme unaweza kupelekwa hata siku ya kwanza inategemeana na mazingira maana what if kama mmepanga nyumba Moja au mko mtaa mmoja na unapajua kwake si unaweza hata ku "surpriiiiiiiise"