Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua nyambizi wewe?Ni vyema tukawa na nyambizi moja au mbili hivi zilizoundwa Tanzania.
...😃😃😃...Dah, nimecheka nilivyosoma tu hii post, wabongo some time tuwe Sirius.
Kwani hizo zilizoundwa nje ya Tanzania tunazo?Ni vyema tukawa na nyambizi moja au mbili hivi zilizoundwa Tanzania.
Meli alizotengeneza ziwa nyasa ukija hata upepo wa feni zinapinduka !Ni vyema tukawa na nyambizi moja au mbili hivi zilizoundwa Tanzania.
ndio alishafariki lakini kampuni bado ipo vema vijana wake wanachapa kazi.Songoro si alishakufa..
Dah, isifike hapo bana tumedharau mno vitu vyetuMeli alizotengeneza ziwa nyasa ukija hata upepo wa feni zinapinduka !
[emoji16][emoji16][emoji16] wabongo dah saluteizo nyambizi zikizama ztakua mazima, mi naona bora tukomae na hii hii mitumbwi ya vibwengo
Nani kakuambia nyambizi zote zinatumia nuclear [emoji23][emoji23][emoji23]hiyo technology ya nuclear katika MV ni nchi chache sana zinazo.Nyambizi sio kama vivuko Man, kitendo tu cha nyambizi kuzama ni physics kubwa
Pia nyambizi zinatumia Nuclear power
Zote ninazozijua mimi ni za Nuclear, alafu Nuclear sio diesel kwamba inaisha leo ,nyingi hudumu miaka 10 hivo basi wananunua kutoka mataifa yenye nazo MkuuNani kakuambia nyambizi zote zinatumia nuclear [emoji23][emoji23][emoji23]hiyo technology ya nuclear katika MV ni nchi chache sana zinazo.
Mleta mada asaidiwe- hajui nyambizi ni kiti gani.Dah, nimecheka nilivyosoma tu hii post, wabongo some time tuwe Sirius.
Ninachokisema muulize Kasimu MajaliwaDah, isifike hapo bana tumedharau mno vitu vyetu