Ni muda muafaka kwa Songoro Marine kupewa tenda ya kuunda nyambizi

Ni muda muafaka kwa Songoro Marine kupewa tenda ya kuunda nyambizi

Zote ninazozijua mimi ni za Nuclear, alafu Nuclear sio diesel kwamba inaisha leo ,nyingi hudumu miaka 10 hivo basi wananunua kutoka mataifa yenye nazo Mkuu
narudia kukuambia nuclaer technology wanazo nchi chache sana hata kuweka kwenye meli au nyambizi ni technolojia ya juu kuliko kulitengeneza bom la nuclear.
usifikiri kusoma nuclear physics kunakupa uwezo wa kutengeneza mabomu ya nculear
 
Nyambizi Inawezekana kuundaa Localy- Lakini sio na Kampuni Moja. Zaidi ya kampuni 4 mpaka 10 au zaidi zinahitajika.Kwa sasa zipo zinazotumia Hydrogen kama power na zile za Nuclear.
 
Bwashee unaweza kutoa ushahidi wa kitaalam kuhusu hii kauli yako? Au ndiyo porojo za kikamanda tu?!
Ni porojo tu za kilevi na ujinga uliokithiri. Mara ngapi tunaona nchi zenye teknolojia zikijaribu vyombo na kufeli, lkn Mwaafrika haoni kama trial and error kujifunza. Upuuzi kabisa, bora tuuawe tu waafrika wabaki waupe ambao tunawaona kama miungu.
Kwa mawazo ya comment hizi tutaendelea kuwa hivi hadi kiayama
 
Songoro Marine peke yao hawatoweza.
Kwanza waifufue MV. kazi imetaga pale nusu mwaka alafu ndo wafikirie habari za nyambizi
 
kwa nini tusijiamini kuunda kifaa hiki?
 
Back
Top Bottom