William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru.
Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa yetu NI ya ujamaa na kujitegemea. Ukweli hatujawahi kujitegemea kokote. Nchi masikini bado zinaitaji misaada ya kutosha, uwekezaji na uwajibikaji ili kufikia. Malengo yake.
Mkapa alitoka Sana nje. Akaandika maandiko ya kuombea fedha. Milenium challenge. Marekani ikamwaga fedha za kutosha kwenye Mabarabara, Huduma za Afya, neti, ARVs, ELIMU (mmem na Mrs), Uchumi ukafufuka nchi ikaenda.
Kikwete akaenda mbali zaidi. Yeye aliandikia kuhusu REA, akamvuta tajili namba moja Africa Dangote kuwekeza.
Kivuli Cha Mtangulizi wake kitampa wakati mgumu katika hili lkn Ili ufikie malengo yake lazma afanye kila awezalo awe yeye Kama yeye. Asisubiri nchi ikwame kabisa. Aendelee kuhubiri uzalendo wa Magufuli lkn asimame yeye Kama yeye.
Uchumi wetu ulikuwa unaenda kukwama, kutoa fedha mtaani na zote kuzijengea miundombinu lilikuwa kunaua uchumi polepole. Kuurudisha uchumi kwa watu sio Jambo Rais. Nakumbuka nyerere alijenga Viwanda kwa kutumia pesa nyingi. Ali hiyo ilifanya watu mtaani kukosa fedha baadae wakakosa fedha ya kununua bidhaa. Wakarudi kwenye biashara za kubadilishana bidhaa Yani Ng'ombe kwa gunia la mahindi au chunvi ya Mawe. Viwanda vya bia na konyagi vilikosa wateja watu wakaanza kunywa gongo na komoni. Kiwanda cha viatu cha Bora kikafa watu walikata taili kuunda viatu. Baada ya watu kukosa pesa kinachofata ni serikali kukosa kodi.
Uchumi Jpm alikuwa anakaria kugota pagumu, mikopo ilikuwa inafikia ukingoni, Wa kuchukuliwa kwenye ac walikuwa wanaenda ukingoni. Matajili waliotengenezwa na Mkapa walikuwa wanashuka siku Hadi siku.
Hapa ili kuurudisha uchumi lazma atafute nguvu mpya ya wahisani. Aanze safari nje. Ata nyerere kwenye njaa alienda kuomba msaada Marekani. Lazima asimame atoke arejeshe wawekezaji. Jk alimleta dangote.
Marekani Sasa benki haitaki Tena kupokea fedha. Kila kitu ni kama kimesimama kwaajili ya korona. Akiwashawishi kuwa Afrika Ndio sehemu mpya ya kimkakati ya kuinua uchumi wa dunia kwa raslimali na watu na Tanzania ndio mlango sahihi wa kuingilia.
Mfano akiongea na mabilionea Kama Elton Mask mmiliki wa telsa na Space X na Sasa anataka kuwekeza kwenye ujenzi wa njia za chini ya ardhi na safari za Anga za mbali awekeze kwenye reli ya kisasa sisi tuwe wachukua Kodi tu. Akikubali kuwekeza tu 5% Yani Dola bilion 9.25 Ela za madafu zaidi ya trilion 20. ya utajili wake yeye Kama yeye anajenga reli hiyo dar Hadi mwanza. Akiingia ubia Mara tano tu Tutafika mbali.
Je, ataweza kwenda nje, au CCM watampa wakati mgumu.
Ila naamini tutavuka