Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

Nchi gani ilifanikiwa baada ya Rais wake kuwa anashinda tu kijijini kwake??
Hivi ni Nchi gani ambayo ilifanikiwa baada ya Rais wake kuwa anafanya safari za Ulaya.
 
Wewe ndio unayekurupuka unadhani Urais ni kwenda Ulaya na Marekani tu??

Taifa haliendelei kwa kwenda Ulaya na Marekani.
Hata viongozi wa nje hutembeleana, wa Russia kwenda Marekani na kinyume chake. Nimetoa fact kibao ya faida za kutoka kutokea kwa nyerere Hadi leo
 
Akishaenda wewe unafaidika na nini?
Kikwete alienda miaka yake yote lakini hakuna kilichopatikana zaidi ya ninyi kumuita vasco
Twambie kitu kimoja ambacho kilipatikana kwa safali za huko marekani?
 
Akishaenda wewe unafaidika na nini?
Kikwete alienda miaka yake yote lakini hakuna kilichopatikana zaidi ya ninyi kumuita vasco
Twambie kitu kimoja ambacho kilipatikana kwa safali za huko marekani?
Vasco junior leo anapitishwa huko dodoma ndege inamsubiria na yeye annze safari zisizo na faida nasi.
 
Tusubiri baada ya Iddi haya mambo yanaweza kuzungumzika, tuache " kudemka"
 
Umenichekesha sana ulivomruka raisi wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dangote majuzi katangaza zaidi ya ajira 4,000 hawa ndio wawekezaji sasa tunataka
 
badala ya kuwaza kutafuta pesa zako unawaza kuomba omba tu. Hufai hata kupewa umonitor wa darasa
 
Kwa mtAji na soko lipi? Kwa kilimo hiki Cha kutegeme mvua?
Kwanini msitengeneze mitaji na masoko?

Mabwawa, mito na maziwa yote mliyonayo hamuwezi kutengeneza irrigation systems?

Zamani nilijua watu waliopo Jamiiforums angalau wana diploma kwenda juu, kumbe kuna jopo kubwa na vihiyo na vilaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…