Ni muda muafaka uvaaji wa barakoa uwe jambo la lazima kwenye umma

Ni muda muafaka uvaaji wa barakoa uwe jambo la lazima kwenye umma

Vaa barakoa acha longo longo!
1614879993300.jpeg

Mkuu umenena hoja kubwa sana. Wataalamu wa kizungu wanasema tuvae barakoa ingawa wao wenyewe wanasema haijathibitika kuwa zinazuia maambukizi. Ikiwa mtu anawaunga mkono avae, hakuna anayemkataza.


Wataalamu wetu wanasema tujifukize, tupige tangawizi, vitunguu, limao, mdalasini, nk. Tunaowaamini tuachwe tufanye hayo bila kulazimishwa kufanya hayo watakayo wazungu.

Mie hapa na-type huku namalizia juice yangu ya;

Tangawizi + Limao + Asali

Halafu niko confident wala sina shaka na huo ugonjwa wao.
 
Huu ugonjwa umelata visa sana,mwanzoni ile mwaka jana wakati ugonjwa ndio unaingia hapa nchini kelele kubwa zilikuwa lockdown,ila tumetoka kote huko na sasa tunataka ulazima wa kuvaa barakoa.
 
Barakoa haizuii corona
Hakuna alikwambia barakoa inazuia corona.barako inakukinga na ugonjwa huu.ndio maana kuna mwenzetu ameandika kuwa TBC badala ya kuwasifia viongozi itumie muda huo kuelemisha wananchi kupitia wataalam wa afya faida za kuvaa barakoa ukiwemo wewe,na pia serikali ifanye kama ilivyofanya 2019.yaani kuvaa barakoa lazima,kukaa umbali wa mita 1 au 2,kuzuia mikusanyiko yote ya wingi watu kama harusi,mikutano,mipira n.k
 
tunapambana sana na gonjwa hili japo kwa sasa halipo kbsa hapa nchini.
 
Nenda hospital yeyote gvt/private leo bila barakoa uone kama utapita getini labda uwe umebebwa ktk machela
Hata ofisi binafsi wanaweza kuamua asiingie mtu bila barakoa. Hizi ni sera za shirika au kampuni ama mahali. Ni tofauti na anchosema mtoa mada kuwa serikali ilazimishe kila mtu kuvaa barako. Maana yake hata mtaani ukitembea bila barakoa unapigwa faini.

Unaweza kuamua nyumbani kwako asije mgeni bila barakoa, au akija unamkabidhi getini kabisa avae. Hii ndio njia sahihi kila mtu ajiamulie.
 
Unapingana na wataalamu wa tiba wewe
Watalaamu wa wapi, je wewe hiyo barakoa imekukinga kitu gani kama sio chanzo cha uanzishaji wa matatizo mengine ya kiafya?

Unaimbishwa wimbo usioujua

Uumbaji wa mtoto tumboni mwa binadamu hausababishwi na sayansi ya binadamu wenzio

Mmeng'enyo wa chakula tumboni hauwezeshwi na sayansi ya binadamu ila mfumo asili wa kiumbe hai.

Anga la dunia limechafuliwa kutokana na shughuli za kibinadamu kwa ajili ya maendeleo au vita.

Binadamu wamekuwa watukutu wakitaka urekebisha uasili wa dunia na viumbe vyake kwa kujaribu kuunda viumbe vingine katika hali hiyo ulinzi asilia huingiliwa hatimaye kupoteza uwezo wa kuihakikishia dunia na viumbe vyake usalama wa maisha.
["....Anga hulinda maisha duniani kwa kupunguza mfiduo wa mionzi, kudumisha ongezeko la joto duniani kwa kutafakari mawimbi ya infrared, kupunguza tofauti kati ya baridi na joto, na kuwapa wanyama na mimea ya oksijeni na nitrojeni wanayohitaji....."]

Korona imetokea kutokana na utukutu wa watu wachache wakitafuta sfa kuwa wa kwanza kugundua jambo fulani lakini werevu wao uliwazidi kichwani na kusababisha athari kwa dunia nzima.

Kuna watafiti watukutu waliwahi kuanza kutoboa dunia ili watokezee upande wa pili kilichowakuta huko wanasayansi wengine wanabaki kusema
'There is superpower beyond human being intelligence'. Murmansk, Russia
Russia drilled down 40,230 feet into the earth, before heat forced work to stop. Despite reaching such a depth, Russia never got to the mantle experiencing intolerable deterrence from unknown flushing powers.
  • As early as the civilization geared up in 1960s, curious scientists and other mischief men have attempted to drill down to the Earth's mantle.
  • Russia holds the record for the deepest man-made hole in the world at more than 40,000 feet deep. That's 7.6 miles.
  • No one has ever reached the Earth's mantle, although scientists have never given up trying to get to it. The further they go deeper down to the mantle past teh magma substance the narrower the hope becomes.
  • Other scientists have curiously attempted to pierce the ozone layer to diagnose how the living creatures feel over a specified period, the results are worrying the experts on life survival.
There is no way teh corona virus have just emerged from nowhere without being facilitated to route the test on how inhibitive are effective to human lives.
1614954945868.png

Face mask, TB N95 mask, surgical masks, goggle glasses, protective gown, breathing apparatus, self-distancing, washing hands etc have nothing to deprive the microscopic virus
 
Back
Top Bottom