Ni muda muafaka wa kupokea ushuhuda kuhusu ule uzi wa tiba ya chumvi ya mawe wa Mshana Jr

Ni muda muafaka wa kupokea ushuhuda kuhusu ule uzi wa tiba ya chumvi ya mawe wa Mshana Jr

Mambo ya ulimwengu wa roho hayo hayahitaji mihemko ya sayansi wala ujuaji ni hatari sn aisee....ulimwengu wa roho ndo unaamua uwe vp au uishi vp ulimwengu wa mwili, mnaweza laaniwa family nzima haijalish mna kaz au biashara bt hamtoboi daadeki....
 
Kuna watu ni wema ila unakuta wanasongwa na mapito magumu hadi kaburini, Aiseee
ni hakika kbs ni kwasababu hawakustuka mapema au walizdiwa nguvu na walimwengu, ogopa sn raia wanaoitwa SHANGAZI, MAMA WA KUFIKIA kwny family zetu hz za kiafrika hawa raia ni wataalam sn wa kuharibu maisha ya watoto wa ndugu zao, hao mama wa kambo nao hawapendagi mtoto wa mumewe afanikiwe utapgwa matukio ulimwengu wa roho uspostuka utakufa ukiwa maskini wa kutupwa mzoga kbs hakuna atakayekuangalia, acha kbs.
 
Tufanyeje kujikwamua mkuu sasa kiroho...sikuuoni huo Uzi wa mshana
 
Kuna ile hali unakuta hela haikai. Haijalishi unafanya biashara au una kazi, yaani hela haikai kabisa.

Sijui ni hali ya kawaida au nini. Nisingeshtuka walahi mpaka sasa ningekuwa sijashika hata milioni moja ya kwangu.
Pesa haitakiwi kukaa, pesa inatakiwa izunguke.

Yaani ikiingia tu, instantly unaituma ikakufanyie kazi au jambo fulani.

Pesa ni energy, ruhusu energy iingie na kutoka maishani mwako usiitunze kwenye kibubu.
 
Back
Top Bottom