Kuna namna ukifanya hiyo hali inapotea.mkuu ulishtukaje? ulichukua hatua gani?
Tufanyeje kujikwamua mkuu sasa kiroho...sikuuoni huo Uzi wa mshana
hivi huu uzi wa kwanza ulifutwa? mbona kila niki click hii link nakutana na "blank page"?
Ulisaidia sana kujipatia maokoto ya kutanua viwanja.Baada ya ule uzi nilifungua duka la kuuza chumvi ya mawe tu , kiukweli nilipata wateja sana, ulinisaidia sana kwani mambo yalienda vizuri mno.
😂😂😂 Acha tu mjusi,Sikupata chochote zaidi ya kuongeza foleni ya malaya mtaani, maana kila demu akiniona anamwaga udenda anyway mwisho wa siku wakanifilisi.
Hiyo ni uhakika hakuna cha pumba hapo mkuu.Acha tu mjusi,
Ok naomba uwe serious