Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam,Shalom,

Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi.

TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye ushahidi Kwa kujifananisha na chura kiziwi hazina AFYA Kwa ulinzi wa pesa za umma na uwajibikaji wa pamoja, Na Kila mtu ajua kuwa uziwi Si upofu, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko kwenye Hansard za bunge, soma basi na chukua hatua.

Kuwafukuza Bashe na Mwigulu Nchemba Uwaziri haitoshi pekee, Inatakiwa wafunguliwe kesi ya uhujumu Uchumi, ikiwezekana wanyongwe hadharani. Nchi yetu kamwe haiwezi piga hatua ikiwa kundi dogo linaweza kupanga mipango ya hujuma Kwa nchi nzima Kisha wakanyamaziwa.

Ushauri: TUNDU Lissu wataje hao watu tuweze kuunga dots.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Lisu si mtu wa kuaminika sana kwa sasa, nadhani zile risasi zimemletea shida.
 
Si lazima usubiri wabishe ndipo uwataje,

Kutishia kuwataja na usiwataje, unatengeneza picha isiyokuwa nzuri mbele ya JAMII .
 
Back
Top Bottom