Ni muda sahihi kila mtanzania apambanie maslahi yake binafsi

Jerry Farms

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
344
Reaction score
350
Ewe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.

Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.

Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.

Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.

Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.

Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
Tatizo kubwa saana! Lakini uhalisia n kua hakuna mtu atakubali umharibie/utishie kuharibu maslahi yake na akuache.
Kauli mbiu n moja tu" Ingilia maslahi yangu nikubomoe, n muda wa kila mtu kutetea tumbo lake( na walio nyuma yake/wategemezi)"✍🏼✍🏼✍🏼
 
Ewe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.

Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.

Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.

Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.

Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.

Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Ubinafsi vyema ukapeleka kwenye ukoo , wako, post ya hovyo sana hii hapa jf
 
Kuna maslahi yako alafu kuna maslahi yetu.

Mtaani kwetu mwezi wa 3 tulichoma wazi wawili kwasababu waliingilia maslahi yetu
Safi.....maslahi yenu. Nadhani umeelewa vizuri mdau.
Wezi waliingilia maslahi yenu, mkapambana kuyalinda.
 
Ukweli ni hakuna mtu atakupambania.....pambania kilicho chako/ linda maslahi yako. Na huu uzi utaukumbuka siku ukiingilia maslahi ya watu.
Hiko hivi binadam wote ni kama wanyama mbungani tunategemeana , kwa mantiki huwezi kuona watu wanakufa ,wanatekwa, ukasema hayanihusu ngoja nipambane mwenyewe.

Uwezi kusema siasa hainiusu , ila mambo yakiaribika na wewe unakua mkimbizi upende usipende ,that's nikasema andiko la hovyo hapa jf
Hata hao wenye vyeo wakifa hawawezi jichimbia kaburi
 
Sawa! Sasa hapo umesema mantiki. Toka, kwenye mantiki rudi kwenye uhalisia....je hudhani, watu wa karne hii ni wabinafsi? Je, ukiumia katika mapambano ya halaiki ni kina nani watakao gharimika( " Mchuma janga hulia na ......", Unadhani wahenga hawakujua haya wakati wakitunga hio methali? Tuishi katika uhalisia.
Dunia ya sasa n ya maslahi binafsi.
 
Hiko hivi binadam wote ni kama wanyama mbungani tunategemeana , kwa mantiki huwezi kuona watu wanakufa ,wanatekwa, ukasema hayanihusu ngoja nipambane mwenyewe.

Uwezi kusema siasa hainiusu , ila mambo yakiaribika na wewe unakua mkimbizi upende usipende ,that's nikasema andiko la hovyo hapa jf
Hata hao wenye vyeo wakifa hawawezi jichimbia kaburi
Haya unayoyasema, hata sisi yalishatukuta.....lakini hakuna aliewahi kupambania ya kwetu. Ni muda sahihi wa kila mtu alinde maslahi yake/yao.
Utaelewa tu taratiiiibu.
 
Ewe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.

Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.

Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.

Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.

Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.

Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Sijui hiki ulichoandika unamaanisha nini,sijui kama unaelewa vzr maana ya serikali,mahakama na Bunge na mwananchi ni nani naamini ukijua maana ya hv vitu na kwa nn vipo utafuta thread yako.
 
Tumefika ilipofika Congo DRC sasa. Hongereni sana CCM kwa kutufikisha ilipofika Congo DRC
 
Sijui hiki ulichoandika unamaanisha nini,sijui kama unaelewa vzr maana ya serikali,mahakama na Bunge na mwananchi ni nani naamini ukijua maana ya hv vitu na kwa nn vipo utafuta thread yako.
Unaamini wewe mwananchi una nguvu ya kuvishurutisha hivyo vyombo vitatu juu?.....siku ukishiriki mazoezi ya serikali n.k utaelewa, narudia tena....pambania maslahi yako binafsi, usibebwe bebwe. TUSIDANGANYANE.
 
Ewe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.

Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.

Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.

Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.

Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.

Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Hiki ndicho nimekuwa nawasihi watu mda wote .

Ukikutana na kadhia kwenye sekta uliyoko ndipo unagana na wenzako kupambana.

Sio mkulima au kuuza uji eti ujapambamie kina Gwajima wamevuna pesa,ukapambanie kina Lisu wenye faida na Mabeberu utakuwa mpumbavu na watakushughulikia na hutopata kitu.
 
Back
Top Bottom