Jerry Farms
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 344
- 350
- Thread starter
- #21
Naam, yaani ujinga mkubwa saana kukaa unampambania mtu.Hiki ndicho nimekuwa nawasihi watu mda wote .
Ukikutana na kadhia kwenye sekta uliyoko ndipo unagana na wenzako kupambana.
Sio mkulima au kuuza uji eti ujapambamie kina Gwajima wamevuna pesa,ukapambanie kina Lisu wenye faida na Mabeberu utakuwa mpumbavu na watakushughulikia na hutopata kitu.
Falsafa ni moja tu " pale maslahi yako yanapoguswa pambana mpaka mwisho".....ila mengine n kujilisha upepo.