Jerry Farms
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 344
- 350
Tatizo kubwa saana! Lakini uhalisia n kua hakuna mtu atakubali umharibie/utishie kuharibu maslahi yake na akuache.
Ubinafsi vyema ukapeleka kwenye ukoo , wako, post ya hovyo sana hii hapa jfEwe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.
Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.
Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.
Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.
Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.
Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Safi.....maslahi yenu. Nadhani umeelewa vizuri mdau.Kuna maslahi yako alafu kuna maslahi yetu.
Mtaani kwetu mwezi wa 3 tulichoma wazi wawili kwasababu waliingilia maslahi yetu
Ukweli ni hakuna mtu atakupambania.....pambania kilicho chako/ linda maslahi yako. Na huu uzi utaukumbuka siku ukiingilia maslahi ya watu.Ubinafsi vyema ukapeleka kwenye ukoo , wako, post ya hovyo sana hii hapa jf
TehKwahiyo tunahitimisha kuwa hata watekaji nao wanapambania masilahi yao??
Hiko hivi binadam wote ni kama wanyama mbungani tunategemeana , kwa mantiki huwezi kuona watu wanakufa ,wanatekwa, ukasema hayanihusu ngoja nipambane mwenyewe.Ukweli ni hakuna mtu atakupambania.....pambania kilicho chako/ linda maslahi yako. Na huu uzi utaukumbuka siku ukiingilia maslahi ya watu.
Sawa! Sasa hapo umesema mantiki. Toka, kwenye mantiki rudi kwenye uhalisia....je hudhani, watu wa karne hii ni wabinafsi? Je, ukiumia katika mapambano ya halaiki ni kina nani watakao gharimika( " Mchuma janga hulia na ......", Unadhani wahenga hawakujua haya wakati wakitunga hio methali? Tuishi katika uhalisia.Hiko hivi binadam wote ni kama wanyama mbungani tunategemeana , kwa mantiki huwezi kuona watu wanakufa ,wanatekwa, ukasema hayanihusu ngoja nipambane mwenyewe.
Uwezi kusema siasa hainiusu , ila mambo yakiaribika na wewe unakua mkimbizi upende usipende ,that's nikasema andiko la hovyo hapa jf
Hata hao wenye vyeo wakifa hawawezi jichimbia kaburi
Haya unayoyasema, hata sisi yalishatukuta.....lakini hakuna aliewahi kupambania ya kwetu. Ni muda sahihi wa kila mtu alinde maslahi yake/yao.Hiko hivi binadam wote ni kama wanyama mbungani tunategemeana , kwa mantiki huwezi kuona watu wanakufa ,wanatekwa, ukasema hayanihusu ngoja nipambane mwenyewe.
Uwezi kusema siasa hainiusu , ila mambo yakiaribika na wewe unakua mkimbizi upende usipende ,that's nikasema andiko la hovyo hapa jf
Hata hao wenye vyeo wakifa hawawezi jichimbia kaburi
Sijui hiki ulichoandika unamaanisha nini,sijui kama unaelewa vzr maana ya serikali,mahakama na Bunge na mwananchi ni nani naamini ukijua maana ya hv vitu na kwa nn vipo utafuta thread yako.Ewe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.
Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.
Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.
Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.
Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.
Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Tumefika ilipofika Congo DRC sasa. Hongereni sana CCM kwa kutufikisha ilipofika Congo DRCEwe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.
Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.
Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.
Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.
Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.
Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Unaamini wewe mwananchi una nguvu ya kuvishurutisha hivyo vyombo vitatu juu?.....siku ukishiriki mazoezi ya serikali n.k utaelewa, narudia tena....pambania maslahi yako binafsi, usibebwe bebwe. TUSIDANGANYANE.Sijui hiki ulichoandika unamaanisha nini,sijui kama unaelewa vzr maana ya serikali,mahakama na Bunge na mwananchi ni nani naamini ukijua maana ya hv vitu na kwa nn vipo utafuta thread yako.
Hiki ndicho nimekuwa nawasihi watu mda wote .Ewe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.
Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.
Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.
Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.
Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.
Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Naaam, naaam.....kama ina maslahi na wewe ....pambania siasani. Ila tu USIMPAMBANIE MTU, jali maslahi yako.Maisha ni siasa na siasa ni maisha.