Jerry Farms
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 344
- 350
- Thread starter
-
- #21
Naam, yaani ujinga mkubwa saana kukaa unampambania mtu.Hiki ndicho nimekuwa nawasihi watu mda wote .
Ukikutana na kadhia kwenye sekta uliyoko ndipo unagana na wenzako kupambana.
Sio mkulima au kuuza uji eti ujapambamie kina Gwajima wamevuna pesa,ukapambanie kina Lisu wenye faida na Mabeberu utakuwa mpumbavu na watakushughulikia na hutopata kitu.
Angalizo maumuzi ya kisiasa yana pande mbili chanya na hasi kuhusu maisha yetu, kwavile tumeamua kuongozwa Kwa mfumo wa kisiasaEwe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.
Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.
Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.
Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.
Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.
Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
Kimantiki inatakiwa iwe hivyo kama unavyosema, Lakini kiuhalisia hakuna kitu kama hicho.Sijui hiki ulichoandika unamaanisha nini,sijui kama unaelewa vzr maana ya serikali,mahakama na Bunge na mwananchi ni nani naamini ukijua maana ya hv vitu na kwa nn vipo utafuta thread yako.
Ndiyo, kimantiki....lakini tunaishi katika uhalisia......yaani mapambano ni yako dhidi yako, ukishindwa....ni umeshindwa wewe na familia yako. Huwezi leo hii umkute mkulima umwambie twende tukampambanie fulani.....alhali yeye adui wake muda huo ni mfugaji anaelisha shamba lake. Haipo, tupambanieni maslahi yetu binanfsi wadau.Kimantiki inatakiwa iwe hivyo kama unavyosema, Lakini kiuhalisia hakuna kitu kama hicho.
It's you vs you and your personal or family interest, Nothing apart from that.
Kweli kabisa, Watakuja na kuhoji uzalendo wako uko wapi?Ndiyo, kimantiki....lakini tunaishi katika uhalisia......yaani mapambano ni yako dhidi yako, ukishindwa....ni umeshindwa wewe na familia yako. Huwezi leo hii umkute mkulima umwambie twende tukampambanie fulani.....alhali yeye adui wake muda huo ni mfugaji anaelisha shamba lake. Haipo, tupambanieni maslahi yetu binanfsi wadau.
Human nature haiko hivyo unavyotaka iwe mtoa mada,Ewe mkulima- pambania maslahi yako ya shamba.
Mfanyabishara- pambania ridhiki yako.
Mfanyakazi- pambana kulinda ulaji wako.
Usidanganywe na mtu kupambania cha mtu. Sasa ni muda sahihi kupambana na kulinda kilicho chako.
Atakaeingilia maslahi yako binafsi....pambana mpaka mwisho, usikubali mtu akuharibie ridhiki yako.
Jitenge na kutumiwa ndugu Mtanzania, usiwe bendera fata upepo.
Pambania maslahi yako, yako binafsi.....ndio, pambania maslahi yako binafsi( asikudanganye mtu kumpambania au et akudanganye anakupambania! Pembuka kifikra.
SIO kweli brother huko sio kusaidia mawazo kwa nchi.shauri watu vitu vya msingi hili ni Taifa.Unaamini wewe mwananchi una nguvu ya kuvishurutisha hivyo vyombo vitatu juu?.....siku ukishiriki mazoezi ya serikali n.k utaelewa, narudia tena....pambania maslahi yako binafsi, usibebwe bebwe. TUSIDANGANYANE.
Exactly mleta mada ametoa ubinafsi wake wa ndani nje tumeuona.Kama ulivyosema kiongozi ni very correct.Human nature haiko hivyo unavyotaka iwe mtoa mada,
Tangu zama za uwepo wa mwanadamu kulikuwa na watu pande mbili
Wabinafsi Kama wewe, (ambao daima huwa wengi) na wapigania maslahi ya wengi (ambao huwa wachache)
Kwahio Kama umechagua upande wako kaa tulia wale wa upande mwingine waendelee!
Dunia hii na mifumo iliyopo ni matokeo ya struggle za wachache,
Mang'ombe wengi Kama wewe na mimi kazi yetu ni kukaa tu na kuishi vyovyote maisha yatavyokuwa!
Kamwe haitatokea dunia ibaki na watu wa kukaa tu peke yao!
Daima wapambania mageuzi ya mifumo wataendelea kuwepo wakihangaika hata kwa kuyahatarisha maisha yao!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app