Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Njoo Canada yupo huku utamuona.
Nadhani kauli ya kibabu cha bumbuli haikumfurahisha, hajapenda kuwa sehemu yaoWana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.
Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki meli na bandari kavu pale Kariakoo. Nahisi nyota-nyota.
Hesabu gani hii ya miaka boss?Anatafakari na kupanga mikakati. Uchaguzi 2025. 2020 walishinda kwa kishindo 2025 watashinda kwa spidi na ngurumo ya radi😁☹☹
2020, walishinda kwa kishindo (inavyosemekana); sasa haiwezekani kama 2020 ilikuwa kishindo, 2025 lazima iwe kwa spidi na ngurumo ya radi🙊😎Hesabu gani hii ya miaka boss?
Oya mzee umeona ule uzi wa ma-crush wa jamiiforums?Mimi nawakubali sana Kinana, Nape, Jakaya, Makamba Sr/Jr. Wameshika mpini lakini Kibajaji, Hapi, makonda na Sabaya bado wazima wako hai.
Sijaona mkuu. Nitupiako kalinki basi kiongozOya mzee umeona ule uzi wa ma-crush wa jamiiforums?
Not 2025 - 2020 anyway!2020, walishinda kwa kishindo (inavyosemekana); sasa haiwezekani kama 2020 ilikuwa kishindo, 2025 lazima iwe kwa spidi na ngurumo ya radi🙊😎
Anafanya nini???Njoo Canada yupo huku utamuona.
Leo alikuwepo msibani Kwa shirima wa precision airWana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.
Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki meli na bandari kavu pale Kariakoo. Nahisi nyota-nyota.
Sijaona mkuu. Nitupiako kalinki basi kiongoz
jiandae kwenda kuzikwa nae klasimeti wakoClassmate yupo kmya sana