Ni muda Sasa sijamtia machoni wala kumsikia huyu Mwamba, kulikoni?

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Wana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.

Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki meli na bandari kavu pale Kariakoo. Nahisi nyota-nyota.
 
Nadhani kauli ya kibabu cha bumbuli haikumfurahisha, hajapenda kuwa sehemu yao
 
Anatafakari na kupanga mikakati. Uchaguzi 2025. 2020 walishinda kwa kishindo 2025 watashinda kwa spidi na ngurumo ya radi😁☹☹
 
Yupo huyu mwanamwema kutoka jamii ya watu wazuri..jana alikuwa anamuaga jamaa yake mzee shirima na leo alikuwa Rombo.

Tafuta video za mazishi ya mzee shirima zote yupo kanisani tena siti ya mbele.
 
Mimi nawakubali sana Kinana, Nape, Jakaya, Makamba Sr/Jr. Wameshika mpini lakini Kibajaji, Hapi, makonda na Sabaya bado wazima wako hai.
 
Wana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.

Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki meli na bandari kavu pale Kariakoo. Nahisi nyota-nyota.
Leo alikuwepo msibani Kwa shirima wa precision air
 
Sijaona mkuu. Nitupiako kalinki basi kiongoz
 
Back
Top Bottom