Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 667
- 1,582
Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa.
Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua tishio na iliogopwa na kuheshimiwa na maadui zake wakati huo.
Hata Ghaddafi alipojaribu kuingia kupambana na Tanzania akitoa Ultimate request or suffer consequences..alikutana na moto mkali sana kutoka kwa jeshi letu na hapo akaamua kutengeneza meza ya diplomasia.
Lakini tunapotazama maafa wanayoyapata Urusi Leo hii kwenye ardhi ya watu wa Ukraine kwa kupokea vipigo vya kusisimua.
Kipigo kitakatifu na vifaru hivyo vikilipuliwa kulia na kushoto kiasi kwamba kukaa ndani ya vifaru imekua jambo la hatari sana kuliko kuwa infantry au askari wa miguu.
Maana mchana huu napata taarifa Jimbo la Khraviv warusi wameanza kuondoka huku miili ya vijana wadogo wa Urusi ikitapakaa Kila pande muda huo Rais wao bwana Putin akijiandaa kufanyiwa operesheni baada ya hali yake ya afya kuzidi kuwa mbaya ikichangiwa na upepo unavyobadilika.
Ni wakati tu umefika Jeshi la nchi yetu liachane kabisa na siraha hizo za Urusi hazitakua na namna yoyote ya kitusaidia kujilinda katika uvamizi wa adui wa nje.