Ni muda Sasa umefika kwa JWTZ kuachanana ununuzi wa silaha kutoka Urusi

Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa.

Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua tishio na iliogopwa na kuheshimiwa na maadui zake wakati huo.

Hata Ghaddafi alipojaribu kuingia kupambana na Tanzania akitoa Ultimate request or suffer consequences..alikutana na moto mkali sana kutoka kwa jeshi letu na hapo akaamua kutengeneza meza ya diplomasia

Lakini tunapotazama maafa wanayoyapata Urusi Leo hii kwenye ardhi ya watu wa Ukraine kwa kupokea vipigo vya kusisimua

Kipigo kitakatifu na vifaru hivyo vikilipuliwa kulia na kushoto kiasi kwamba kukaa ndani ya vifaru imekua jambo la hatari sana kuliko kuwa infantry au askari wa miguu

Maana mchana huu napata taarifa Jimbo la Khraviv warusi wameanza kuondoka huku miili ya vijana wadogo wa Urusi ikitapakaa Kila pande muda huo Rais wao bwana Putin akijiandaa kufanyiwa operesheni baada ya hali yake ya afya kuzidi kuwa mbaya ikichangiwa na upepo unavyobadilika.

Ni wakati tu umefika Jeshi la nchi yetu liachane kabisa na siraha hizo za Urusi hazitakua na namna yoyote ya kitusaidia kujilinda katika uvamizi wa adui wa nje
Uelewa wako ni mdogo sana.
Mkenda anatakiwa apambane sana kurekebisha mitaala ya elimu yetu ili kuokoa taifa kuwa na vijana wenye uelewa finyu hivi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Unajua inashangaza kusikia watu wanashangaa kuharibiwa kwa silaha za kivita Kama atillery mashine, vifaru na ndege za kirusi na silaha za ki Ukraine ( NATO made) . Vita si lelemama Vita Ni kupambana kuharibu maisha na vifaa vya adui, kuvidisable vifaa hivyo vile uwezavyo.
Marekani Ni nchi imara kijeshi pengine kuliko zote lakini unajua ndo nchi iliyopoteza ndege nyingi zaidi vitani duniani kuliko nchi yoyote?
Hi inatufanya tuamini uimara wa US kijeshi Ni hadithi za kutunga?
Us wanatisha kijeshi si mchezo..
Uharibifu was silaha Kama vifaru na APC inategemeana na stategy ya kivita either iliyofanikiwa ama imepangwa kufaulu ikafeli.
Kwa mfano ili kulinda kifaru chochote cha kirusi au Cha kimarekani vitani lazima uwe na infantry support baada ya air raid kuhakikisha majeshi pinzani yenye ATGMs.
( Anti Tank Guided Missiles) yanafeli kushambulia kirahisi kwa kibano Cha infantria.
Kinachoonekana Ukraine kwa vifaru vya kirusi hasa mwanzoni mwa Vita ilikua kufeli kwa mipango ya kivita dhidi ya adui aliyefikiriwa kuwa dhaifu Sana but kiuhalisi hakua dhaifu Sana but dhaifu mwenye upinzani mkubwa.
Kwa Sasa Hilo limerekebishwa vifaru hivyohivyo t 72 haviharibiwi kirahisi coz warusi washajua adui wa Sina gani wanapambana nae. Ulinzi wa infantria dhidi ya adui Ni mkubwa kwenye kuhakikisha kusonga mbele kwa majeshi ya tanks na APC
Kwahiyo silaha Bora si kila Mara Ni ushindi wa Vita Bali mipango.
Nb nitajibu kadri ya hoja zitavyokuja.
 
Eti Tanzania ilipigana vita na Gadaf hivi wewe Tanzania kuteka wale madaktari na silaha kama sita alizo msaidia Iddi Amin ndio alipigana vita na Gadaf?

Tanzania hakuna hata silaha yake inauwezo wa kufika Nairobi akampige Gadaf ambaye alikuwa na Long range Missile zingefika mpaa South Africa na ana Kila Aina ya ndege za kivita kama SUkhui, Mig na Mirage pamoja na Submarine.

Nyerere ndio alianzaa kujipendekaza Kwa Gaddafi kumita ndugu yetu Gadaf angemiita adui Gadaf angendeleza uadui kwake na Tanzania asinge shinda vita kama Gaddafi angempa Uganda 20% ya silaha zake.
 
Uturuki ni wanachama wa ukoo wenu sio?

Mataifa kama China,Iran,India, Pakistan ni kati ya mataifa yenye nguvu duniani na ni wanunuzi wakubwa wa silaha za Urusi alafu we mganga njaa kutoka koromije unaleta kejeli za kipuuzi hapa?

Kwa hiyo ww usiye jua hata bunduki inashikwaje una zijua silaha za Urusi kuliko wataalamu wa hizo nchi ambao wanaona zinafaa? Au unawazidi wataalamu na wakuu wa JWTZ ?

Sema nchi yako ni masikini haina hela za kununua silaha za kisasa badala yake huwa inaenda kununua masilaha ya miaka ya 1947 huko.

Kama silaha za Urusi si kitu jaribuni kuingia vitani hata na Uganda tuone kama mtaweza kuzizuia ndege zao za kirusi aina ya sokhu_25 kama hamjapoteana hapa.

Hizo silaha za Marekani unazo ziona ni bora sana mpaka unazidharahu silaha za Urusi mbona hazijawasaidia waasi kushinda vita nchini syria?

Hizo silaha za Marekani mbona hajaisaidia Saudia arabia na washirika wake kushinda vita nchini Yemen na kila siku visima vyake vina shambuliwa kwa makombora wakati vimezungukwa na mifumo ya ulinzi ya kiMarekani?

Hizo silaha za Marekani mbona hazikumsaidia yeye mwenyewe kuishinda vita dhidi nchi masikini kabisa kipindi hicho Vietnam badala yake akaishia kukimbia baada ya kupata kipigo cha aibu ?

Ubora wa silaha huwa una pimwa kutokana na kiwango cha uharibifu inacho sababisha pale inapo tua na sivinginevyo.

Watz tupunguze ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu, tabia ya kujifanya mjuaji kwa kitu ambacho hukijui ni moja wapo ya dalili za upumbavu.
Kibaya zaidi,Marekani ni muoga kweli kuona silaha hasa mifumo kinga ya kirusi ikimsogelea. Au kuwa karibu na silaha zake. Uturuki alipitia joto kali aliponunua S400. Hadi dili ya ushirikiano wa uundaji mapipa(ndege vita) ukafa. Kisa Marekani hataki ndege zake kuwa karibu na mfumo huo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Yaani wamarekani wenyewe wana copy silaha kutoka urusi.

Hatuwezi kununua silaha kutoka marekani zilizo shindwa kufua dafu hata kwa al shabab

Ukraine yenyewe imeona silaha za kimarekan ni upuuzi ndo maana huwa wanazitelekeza

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Wewe tangu utudanganye Kyiv inakuwa majivu ndani ya masaa kadhaa na Sniper kuuwawa huwa nasoma comment zako kwa tahadhari ya kuingizwa chaka [emoji3]
 
Mpaka wanachama wa NATO wananunua silaha kutoka Urusi sembuse nyinyi makapuku mlio shindwa hata kumaliza tatizo la vyoo mashuleni?
Watz tuna ujuaji wa kipumbavu.
Mkuu mbona unatokwa povu tena,unatuita wapumbavu [emoji15].Mpaka vita hii iishe kuna watu mtahitaji kwenda kwa therapist kurelease hizo anger na frustration za maisha mlizonazo.Sidhani kama ni hii hii vita tu ndiyo inafanya muwe na makasiriko kiasi hiki.
 
Watz tupunguze ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu, tabia ya kujifanya mjuaji kwa kitu ambacho hukijui ni moja wapo ya dalili za upumbavu.

Sasa wewe unatofauti gani na hao unaowaita wajuaji wa kila kitu? Maana upo kila sehemu na unajiona unajua kila kitu.Angalia usije kuwa kichaa kisa kujibizana na watu usiwajua huku unawagombeza.Upumbavu ni pale unapowafokea watu ambao hata huwajui.Calm down,toa hoja utaeleweka tu.Huyo Putin hata hajui kama unaexist hapa Duniani,why uwe na makasiriko kiasi hiki [emoji846]
 
Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa.

Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua tishio na iliogopwa na kuheshimiwa na maadui zake wakati huo.

Hata Ghaddafi alipojaribu kuingia kupambana na Tanzania akitoa Ultimate request or suffer consequences..alikutana na moto mkali sana kutoka kwa jeshi letu na hapo akaamua kutengeneza meza ya diplomasia

Lakini tunapotazama maafa wanayoyapata Urusi Leo hii kwenye ardhi ya watu wa Ukraine kwa kupokea vipigo vya kusisimua

Kipigo kitakatifu na vifaru hivyo vikilipuliwa kulia na kushoto kiasi kwamba kukaa ndani ya vifaru imekua jambo la hatari sana kuliko kuwa infantry au askari wa miguu

Maana mchana huu napata taarifa Jimbo la Khraviv warusi wameanza kuondoka huku miili ya vijana wadogo wa Urusi ikitapakaa Kila pande muda huo Rais wao bwana Putin akijiandaa kufanyiwa operesheni baada ya hali yake ya afya kuzidi kuwa mbaya ikichangiwa na upepo unavyobadilika.

Ni wakati tu umefika Jeshi la nchi yetu liachane kabisa na siraha hizo za Urusi hazitakua na namna yoyote ya kitusaidia kujilinda katika uvamizi wa adui wa nje
Mi nadhani jf ilitakiwa kuwe kuna vetting ya kuwa member humu. Sasa mavilaza kama haya ndo yanaandika thread!
 
Umeandika ushuzi,utumbo ama kamasi!!?
jichagulie mwenyewe
 
Sasa wewe unatofauti gani na hao unaowaita wajuaji wa kila kitu? Maana upo kila sehemu na unajiona unajua kila kitu.Angalia usije kuwa kichaa kisa kujibizana na watu usiwajua huku unawagombeza.Upumbavu ni pale unapowafokea watu ambao hata huwajui.Calm down,toa hoja utaeleweka tu.Huyo Putin hata hajui kama unaexist hapa Duniani,why uwe na makasiriko kiasi hiki [emoji846]
Nimetoa maelezo ya kutosha kutetea hoja yangu sasa ww umekuja kutoa kejeri bila fact za pinga hoja zangu nilizo ziandika.

Na hii imekuwa ni tabia yako kurukia post za watu na kutoa kejeri badala ya kujibu hoja ndio maana umeshakosana na watu wengi.

Tabia za kurukia coment za watu na kuanza kutoa kejeri bila ya kujibu hoja ndio ujuaji wa kipuuzi tunao usema maana ungekuwa unajua ungekuja na fact za kupinga hoja zangu badala ya kejeri.

Nilie mjibu amenielewa na ndio maana mpaka sasa yuko kimia sasa sijui ww unawashwa washwa nn na coment yangu.

Ww kama unaudhika na post zangu uwe unapita kimia kimia maana kila coment yangu ni lazima uishobokee kwa maneno ya kejeri sema nimekuwa nikikuvumilia tu.
 
Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa.

Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua tishio na iliogopwa na kuheshimiwa na maadui zake wakati huo.

Hata Ghaddafi alipojaribu kuingia kupambana na Tanzania akitoa Ultimate request or suffer consequences..alikutana na moto mkali sana kutoka kwa jeshi letu na hapo akaamua kutengeneza meza ya diplomasia

Lakini tunapotazama maafa wanayoyapata Urusi Leo hii kwenye ardhi ya watu wa Ukraine kwa kupokea vipigo vya kusisimua

Kipigo kitakatifu na vifaru hivyo vikilipuliwa kulia na kushoto kiasi kwamba kukaa ndani ya vifaru imekua jambo la hatari sana kuliko kuwa infantry au askari wa miguu

Maana mchana huu napata taarifa Jimbo la Khraviv warusi wameanza kuondoka huku miili ya vijana wadogo wa Urusi ikitapakaa Kila pande muda huo Rais wao bwana Putin akijiandaa kufanyiwa operesheni baada ya hali yake ya afya kuzidi kuwa mbaya ikichangiwa na upepo unavyobadilika.

Ni wakati tu umefika Jeshi la nchi yetu liachane kabisa na siraha hizo za Urusi hazitakua na namna yoyote ya kitusaidia kujilinda katika uvamizi wa adui wa nje
HUJIELEWI WEWE
 
Nimetoa maelezo ya kutosha kutetea hoja yangu sasa ww umekuja kutoa kejeri bila fact za pinga hoja zangu nilizo ziandika.

Na hii imekuwa ni tabia yako kurukia post za watu na kutoa kejeri badala ya kujibu hoja ndio maana umeshakosana na watu wengi.

Tabia za kurukia coment za watu na kuanza kutoa kejeri bila ya kujibu hoja ndio ujuaji wa kipuuzi tunao usema maana ungekuwa unajua ungekuja na fact za kupinga hoja zangu badala ya kejeri.

Nilie mjibu amenielewa na ndio maana mpaka sasa yuko kimia sasa sijui ww unawashwa washwa nn na coment yangu.

Ww kama unaudhika na post zangu uwe unapita kimia kimia maana kila coment yangu ni lazima uishobokee kwa maneno ya kejeri sema nimekuwa nikikuvumilia tu.
Panic at your own peril lakini ukweli utaambiwa tu.Halafu unapaswa kujua hii ni forum huru umeandika hapa utajibiwa hapa hapa,kama hutaki kujibiwa uache kucomment.Lakini kama utaendelea kuita watu Wapumbavu usitegemee tutakuacha.Haya nasubiri tena waraka mrefu kama kawaida yako
 
Hakuna aliye kukataza kujibu ila jibu kwa hoja sio kutoa kejeri.

Mfano kwa hoja nilizo zileta ulitakiwa uje unikosoe kuwa hili sio kweli bali ukweli ni huu hapa hizo ndio hoja zinazo takiwa.

Sio uje na kejeri za sijui povu ,mara sijui mwaka huu nitaku kichaa niwe kichaa kwani hiyo vita ina umuhimu gani kwangu mpaka niwe kichaa? mara Putin hakujui kwani ww Baiden anakujua?

Kwa hoja zangu nilikuwa najaribu kumueleza mtoa mada ya kuwa ushidi vitani hauji kisa tu unatumia silaha za taifa fulani bali unakuja kimkakati.
 
Yaani wamarekani wenyewe wana copy silaha kutoka urusi.

Hatuwezi kununua silaha kutoka marekani zilizo shindwa kufua dafu hata kwa al shabab

Ukraine yenyewe imeona silaha za kimarekan ni upuuzi ndo maana huwa wanazitelekeza

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kumbe hata sababu huijui!
Jua kuwa wanajeshi wa Ukreine wana Uzoefu na Ujuzi wa machuma chakavu silaha za urusi kuliko askari wa urusi!
Jiulize anae uza silaha hizo kwa adui nani??
Rushwa inaitafuna urusi hadi putin mwenyewe anakula bila kunawa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa.

Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua tishio na iliogopwa na kuheshimiwa na maadui zake wakati huo.

Hata Ghaddafi alipojaribu kuingia kupambana na Tanzania akitoa Ultimate request or suffer consequences..alikutana na moto mkali sana kutoka kwa jeshi letu na hapo akaamua kutengeneza meza ya diplomasia.

Lakini tunapotazama maafa wanayoyapata Urusi Leo hii kwenye ardhi ya watu wa Ukraine kwa kupokea vipigo vya kusisimua.

Kipigo kitakatifu na vifaru hivyo vikilipuliwa kulia na kushoto kiasi kwamba kukaa ndani ya vifaru imekua jambo la hatari sana kuliko kuwa infantry au askari wa miguu.

Maana mchana huu napata taarifa Jimbo la Khraviv warusi wameanza kuondoka huku miili ya vijana wadogo wa Urusi ikitapakaa Kila pande muda huo Rais wao bwana Putin akijiandaa kufanyiwa operesheni baada ya hali yake ya afya kuzidi kuwa mbaya ikichangiwa na upepo unavyobadilika.

Ni wakati tu umefika Jeshi la nchi yetu liachane kabisa na siraha hizo za Urusi hazitakua na namna yoyote ya kitusaidia kujilinda katika uvamizi wa adui wa nje.
Akili ya kuku!....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Doh
Kuna magari yao yana engene kama nyumba!
Yanakula mafuta lita.100 ukiweka mbagala kariakoo hufiki[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mpaka wanachama wa NATO wananunua silaha kutoka Urusi sembuse nyinyi makapuku mlio shindwa hata kumaliza tatizo la vyoo mashuleni?
Watz tuna ujuaji wa kipumbavu.
Itaje hiyo silaha inayo nunuliwa na Nato![emoji101][emoji101]
 
Baba ulizia matumizi ya ile kitambaa Cha nyuma kwenye migs na SUs so kwaajili ya breki Bali kupunguza kani ya ukinzani na hivyo ndege Vita kutua salama bila shida.
Hi amekuelekeza Nani man
Kawaeleze na kuwadanganya wasio jua wenzio!
Mimi nipo jikoni!
Hebu nifahamishe vita.1 aliyo shinda mwarabu dhidi ya Yahudi wakitumia silaha za mrusi[emoji101][emoji101]
 
Back
Top Bottom