Ni muda Sasa umefika kwa JWTZ kuachanana ununuzi wa silaha kutoka Urusi

Uelewa wako ni mdogo sana.
Mkenda anatakiwa apambane sana kurekebisha mitaala ya elimu yetu ili kuokoa taifa kuwa na vijana wenye uelewa finyu hivi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Unajua inashangaza kusikia watu wanashangaa kuharibiwa kwa silaha za kivita Kama atillery mashine, vifaru na ndege za kirusi na silaha za ki Ukraine ( NATO made) . Vita si lelemama Vita Ni kupambana kuharibu maisha na vifaa vya adui, kuvidisable vifaa hivyo vile uwezavyo.
Marekani Ni nchi imara kijeshi pengine kuliko zote lakini unajua ndo nchi iliyopoteza ndege nyingi zaidi vitani duniani kuliko nchi yoyote?
Hi inatufanya tuamini uimara wa US kijeshi Ni hadithi za kutunga?
Us wanatisha kijeshi si mchezo..
Uharibifu was silaha Kama vifaru na APC inategemeana na stategy ya kivita either iliyofanikiwa ama imepangwa kufaulu ikafeli.
Kwa mfano ili kulinda kifaru chochote cha kirusi au Cha kimarekani vitani lazima uwe na infantry support baada ya air raid kuhakikisha majeshi pinzani yenye ATGMs.
( Anti Tank Guided Missiles) yanafeli kushambulia kirahisi kwa kibano Cha infantria.
Kinachoonekana Ukraine kwa vifaru vya kirusi hasa mwanzoni mwa Vita ilikua kufeli kwa mipango ya kivita dhidi ya adui aliyefikiriwa kuwa dhaifu Sana but kiuhalisi hakua dhaifu Sana but dhaifu mwenye upinzani mkubwa.
Kwa Sasa Hilo limerekebishwa vifaru hivyohivyo t 72 haviharibiwi kirahisi coz warusi washajua adui wa Sina gani wanapambana nae. Ulinzi wa infantria dhidi ya adui Ni mkubwa kwenye kuhakikisha kusonga mbele kwa majeshi ya tanks na APC
Kwahiyo silaha Bora si kila Mara Ni ushindi wa Vita Bali mipango.
Nb nitajibu kadri ya hoja zitavyokuja.
 
Eti Tanzania ilipigana vita na Gadaf hivi wewe Tanzania kuteka wale madaktari na silaha kama sita alizo msaidia Iddi Amin ndio alipigana vita na Gadaf?

Tanzania hakuna hata silaha yake inauwezo wa kufika Nairobi akampige Gadaf ambaye alikuwa na Long range Missile zingefika mpaa South Africa na ana Kila Aina ya ndege za kivita kama SUkhui, Mig na Mirage pamoja na Submarine.

Nyerere ndio alianzaa kujipendekaza Kwa Gaddafi kumita ndugu yetu Gadaf angemiita adui Gadaf angendeleza uadui kwake na Tanzania asinge shinda vita kama Gaddafi angempa Uganda 20% ya silaha zake.
 
Kibaya zaidi,Marekani ni muoga kweli kuona silaha hasa mifumo kinga ya kirusi ikimsogelea. Au kuwa karibu na silaha zake. Uturuki alipitia joto kali aliponunua S400. Hadi dili ya ushirikiano wa uundaji mapipa(ndege vita) ukafa. Kisa Marekani hataki ndege zake kuwa karibu na mfumo huo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: RTI
Wewe tangu utudanganye Kyiv inakuwa majivu ndani ya masaa kadhaa na Sniper kuuwawa huwa nasoma comment zako kwa tahadhari ya kuingizwa chaka [emoji3]
 
Mpaka wanachama wa NATO wananunua silaha kutoka Urusi sembuse nyinyi makapuku mlio shindwa hata kumaliza tatizo la vyoo mashuleni?
Watz tuna ujuaji wa kipumbavu.
Mkuu mbona unatokwa povu tena,unatuita wapumbavu [emoji15].Mpaka vita hii iishe kuna watu mtahitaji kwenda kwa therapist kurelease hizo anger na frustration za maisha mlizonazo.Sidhani kama ni hii hii vita tu ndiyo inafanya muwe na makasiriko kiasi hiki.
 
Watz tupunguze ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu, tabia ya kujifanya mjuaji kwa kitu ambacho hukijui ni moja wapo ya dalili za upumbavu.

Sasa wewe unatofauti gani na hao unaowaita wajuaji wa kila kitu? Maana upo kila sehemu na unajiona unajua kila kitu.Angalia usije kuwa kichaa kisa kujibizana na watu usiwajua huku unawagombeza.Upumbavu ni pale unapowafokea watu ambao hata huwajui.Calm down,toa hoja utaeleweka tu.Huyo Putin hata hajui kama unaexist hapa Duniani,why uwe na makasiriko kiasi hiki [emoji846]
 
Mi nadhani jf ilitakiwa kuwe kuna vetting ya kuwa member humu. Sasa mavilaza kama haya ndo yanaandika thread!
 
Umeandika ushuzi,utumbo ama kamasi!!?
jichagulie mwenyewe
 
Nimetoa maelezo ya kutosha kutetea hoja yangu sasa ww umekuja kutoa kejeri bila fact za pinga hoja zangu nilizo ziandika.

Na hii imekuwa ni tabia yako kurukia post za watu na kutoa kejeri badala ya kujibu hoja ndio maana umeshakosana na watu wengi.

Tabia za kurukia coment za watu na kuanza kutoa kejeri bila ya kujibu hoja ndio ujuaji wa kipuuzi tunao usema maana ungekuwa unajua ungekuja na fact za kupinga hoja zangu badala ya kejeri.

Nilie mjibu amenielewa na ndio maana mpaka sasa yuko kimia sasa sijui ww unawashwa washwa nn na coment yangu.

Ww kama unaudhika na post zangu uwe unapita kimia kimia maana kila coment yangu ni lazima uishobokee kwa maneno ya kejeri sema nimekuwa nikikuvumilia tu.
 
HUJIELEWI WEWE
 
Panic at your own peril lakini ukweli utaambiwa tu.Halafu unapaswa kujua hii ni forum huru umeandika hapa utajibiwa hapa hapa,kama hutaki kujibiwa uache kucomment.Lakini kama utaendelea kuita watu Wapumbavu usitegemee tutakuacha.Haya nasubiri tena waraka mrefu kama kawaida yako
 
Hakuna aliye kukataza kujibu ila jibu kwa hoja sio kutoa kejeri.

Mfano kwa hoja nilizo zileta ulitakiwa uje unikosoe kuwa hili sio kweli bali ukweli ni huu hapa hizo ndio hoja zinazo takiwa.

Sio uje na kejeri za sijui povu ,mara sijui mwaka huu nitaku kichaa niwe kichaa kwani hiyo vita ina umuhimu gani kwangu mpaka niwe kichaa? mara Putin hakujui kwani ww Baiden anakujua?

Kwa hoja zangu nilikuwa najaribu kumueleza mtoa mada ya kuwa ushidi vitani hauji kisa tu unatumia silaha za taifa fulani bali unakuja kimkakati.
 
Kumbe hata sababu huijui!
Jua kuwa wanajeshi wa Ukreine wana Uzoefu na Ujuzi wa machuma chakavu silaha za urusi kuliko askari wa urusi!
Jiulize anae uza silaha hizo kwa adui nani??
Rushwa inaitafuna urusi hadi putin mwenyewe anakula bila kunawa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Akili ya kuku!....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Doh
Kuna magari yao yana engene kama nyumba!
Yanakula mafuta lita.100 ukiweka mbagala kariakoo hufiki[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mpaka wanachama wa NATO wananunua silaha kutoka Urusi sembuse nyinyi makapuku mlio shindwa hata kumaliza tatizo la vyoo mashuleni?
Watz tuna ujuaji wa kipumbavu.
Itaje hiyo silaha inayo nunuliwa na Nato![emoji101][emoji101]
 
Baba ulizia matumizi ya ile kitambaa Cha nyuma kwenye migs na SUs so kwaajili ya breki Bali kupunguza kani ya ukinzani na hivyo ndege Vita kutua salama bila shida.
Hi amekuelekeza Nani man
Kawaeleze na kuwadanganya wasio jua wenzio!
Mimi nipo jikoni!
Hebu nifahamishe vita.1 aliyo shinda mwarabu dhidi ya Yahudi wakitumia silaha za mrusi[emoji101][emoji101]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…