Ni muda Sasa umefika kwa JWTZ kuachanana ununuzi wa silaha kutoka Urusi

Tanzania ishawachana kitambo na machuma chakavu ya Russia. Saa hivi soko la silaha ni kutoka China. Russia haiko hata Top 3
 
Tanzania na umskini wetu hatuwezi kuachana na Silaha za Urusi,na Kama tukiachana na Silaha za Urusi Basi lazima tumgeukie Mchina make Ndio wana Silaha za Bei ya Nyanya. Silaha za Marekani Ni Bei Ghali Sana, ndio maana Mataifa mengi maskini yanakimbilia kununua kwa Urusi au China.Kwa mfano:

1.Air defence systems:
S-400(URUSI)- $ 350M
THAAD(USA)-$ 1.2B

Military Tanks

T-90(Russia)-$ 3.7M
Abrahams(USA)-$ 13M

Attack Hellicopter
K-52(Russia)-$ 1.2M
Appache(USA)-$35M.
 
unaandika km vile raia wa tz , punguan kbs
 
Naomba nikukumbushe sehemu ya ulichokisema "...... watanzania mnakuwa na ujuaji wa kipumbavu....." hukuishia hapo ukarudia tena kwa comment iliyofuata.Uzuri hujaedit ukirudi utaikuta.

Vinginevyo hatuna sababu ya kutoleana maneno ya kukera kisa tu hukubaliani na mwingine.Afterall si Putin wala Zelensiky anaejua kuwa tupo hata kwa Dunia hii
 
Tanzania ishawachana kitambo na machuma chakavu ya Russia. Saa hivi soko la silaha ni kutoka China. Russia haiko hata Top 3
Ha ha yaani we Ni zero brain hujui Kama Chinese made weapons Ni version ya silaha za kirusi. Eg F7 Ni mig 21
 
Wala usinihusishe sabab nlionyamaza ni usimjibu Mpumbavu sawa na Upumbavu wake....na kweli kumbe nlivyokaa kimya ukajiona una hekima kweli
 
Yaan unakuta mtu ana uchungu hatari....kisa Urusi kapigwa ndio amepigwa na lazima apigike sababu kaingia nchi ya watu ili aifanye kuwa Jimbo lake
 
Ebu kasome basi kidogo.... Gadaffi alitoa masaa kwa Tanzania kuondoa jeshi lake Uganda na akatuma maaskari wake....ebu kapitie basi hata ili Kanda ya vita ya Uganda YouTube

Gadaffi ka destabilize nchi nying za Africa akitoa sapoti ya waasi ili awe very powerful figure ktk siasa za Bara la Africa
 
Mtu povu linakutokaa mpaka Matusi kibao kisa mtu katofautiana na wewe kimtazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…