joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wazee wa direct football.Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Litawagharimu namna gani mkuu?Kosa kubwa litakalo igharimu Simba ni kumfukuza huyu mzee.
Hivi watu hawajamuelewa Robertinho anaposema Objective football/ win...Hatuwezi kumuondoa kocha kizembe namna hiyo
Kwa hiyo Simba ndo yakuchukua waliofeli?Ushauri wa bure [emoji848].Mkamchikue Nasrideen Nani,atawatoa mlipokwamia hivi sasa[emoji3][emoji3]
Hujaalikwa kuja kuchangia, na huwezi kuzuia mtu kutoa kile anachokionaAnzisha timu yako
Mpo nae mpaka mkataba wake uishe....HUYU KOCHA SIJUI KAMA TUTAKULA NAE X-MAS
Tawile timu lina kazi ya kurudisha magoli tu tangu kule Zambia halafu linakuja senge hapa linatetea eti simba ni kubwa.Simba ya mpira Biriani ilikuwa na Wachezaji WAFUATAO.
1. Chama.
2. MIQUISSONE.
3. Bwalya.
4. Lwanga
5. Mkude
Leo simba Ina wachezaji wa kupoteza Mipira Kila Dakika kama
1. KIBU.
2. Kanute.
3. Mzamiru.
4.saido.
5. Onana nk
JIFUNZENI MPIRA MSIMLAUMU KOCHA LAUMUNI UONGOZI WENU WA KIPUMBAVU.
Hahitaji chakula chako, anakula hoteliniHUYU KOCHA SIJUI KAMA TUTAKULA NAE X-MAS
Nadhani timu yenye uhakika wa kurudisha magoli ni bora kuliko inayoshindwa kulinda magoliTawile timu lina kazi ya kurudisha magoli tu tangu kule Zambia halafu linakuja senge hapa linatetea eti simba ni kubwa.
Usimuamshe alielala.Ushauri wa bure [emoji848].Mkamchikue Nasrideen Nani,atawatoa mlipokwamia hivi sasa[emoji3][emoji3]