Ni muda sasa wa kuachana na Robertinho, na ni muda wa kuleta kocha wa pira tulilolizoea!

1. Mtu mwenye akili timamu aniambie KOSA la Robertinho ni Nini????

2. Unamuhukumu Robertinho kwa Makosa Gani????????

3. Unawachezaji wanaopoteza mpira Kila saa kama
KIBU, Mzamiru, Saido, na Kanute
(Hakuna mchezaji aliyeletwa na Robertinho)

4. Simba ya Biriani ilikuwa na Wachezaji kama.....

Thadeo, Mkude, Bwalya, chama, MIQUISSONE, nyoni na Wawa.

MWENYE AKILI TIMAMU ANIAMBIE ROBERTINHO ANAHUKUMIWA KWA KIPI?????
Nawewe muda mwingine tumia akili yako ile ya darasa la sita kutofautisha kiza na mwanga
Hivi ile biriani ya simba unayoisemea ilikuwa inajipika? Sio kulikuwa na mpishi fundi Da losa.
Huyo chiba wako hana mbinu Simba itafute kocha.
 
Bora umemjibu
 
UTOTO Raha sana...

Tofautisha Timu ya Darosa na timu ya Kuunga unga ya Miaka MITATU hii ya sasa ya Simba.

Simba ya akina Bwalya
akina Miquisson.
akina Chama.
Thadeo Lwanga.
Wawa mkude nk.

Unataka kuifananisha na
Kanute.
KIBU.
Mzamiru
Saido.
Hawa wachezaji ni Mo Direct HAWAJUI kukaa na mpira, kupiga pass nk.

Hakuna KOCHA anayefundisha kupiga pass kwenye Leagi KUU.

Tena Ilikuwa ni Simba tu iliyokuwa inafundishwa mazoezini kufunga Magoli.

Unataka Robertinho amfundishe KIBU kupiga pass!!!!?
Shame.

NIKUSAIDIE NINI ZAIDI????
 
Hata uwe na Coach Mzuri kiasi Gani kama wachezaji WABOVU usitegemee kitu.

Guadiola Hata akiwa KOCHA wa Timu ya Tanzania stars hata kwa Dawa Gani hawachukui Afcon.

Tofautisha kati ya Timu nzuri na wachezaji wazuri.

Muwe MNATUMA Akili
 
UTOTO Raha sana...

Tofautisha Timu ya Darosa na timu ya Kuunga unga ya Miaka MITATU hii ya sasa ya Simba.

Simba ya akina Bwalya
akina Miquisson.
akina Chama.
Thadeo Lwanga.
Wawa mkude nk.

Unataka kuifananisha na
Kanute.
KIBU.
Mzamiru
Saido.
Hawa wachezaji ni Mo Direct HAWAJUI kukaa na mpira, kupiga pass nk.

Hakuna KOCHA anayefundisha kupiga pass kwenye Leagi KUU.

Tena Ilikuwa ni Simba tu iliyokuwa inafundishwa mazoezini kufunga Magoli.

Unataka Robertinho amfundishe KIBU kupiga pass!!!!?
Shame.

NIKUSAIDIE NINI ZAIDI????
Wewe ni mbishi na bingwa wa kukalili.
Siwezi kubishana naww umeshindq.
 
Back
Top Bottom